OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,125
- 24,051
Sasa nyie arsenal mbona mnababisha sana kwenye sajili zenu. Ukiona mchezaji katakiwa na arsenal ujue ni arsenal tu, hakuna timu ingine itamtaka. Hamjiulizi mnakwamia wapi mkuu? Angalia DSuarez anarudi Barca, Gundogazzi kafanya nin? Papa nin yule wa kulia kulia timu ikifungwa kfanya nini? Unai mwenyewe kafanya nini? Leno kfanya nini?Umewahi kusikia ushindan kwenye sajili zote za ronaldo tokea anaenda man u???