Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,007
- 13,799
Hatujui
Zile paund mil 40 alizopewa Unai, ameshasajili wachezaji wangap?
Zile paund mil 40 alizopewa Unai, ameshasajili wachezaji wangap?
Hiv sisi fan wa Arsenal ni mchezaji gani ambaye tulimtaka aliyekuwa na ushindani kwenye soko.? Yani ukute Labda man city au Chelsea au Liverpool wanamtaka uyo mchezaji ..halafu yeye mwenyewe akachagua kuja arsenal. Me naona wachezaji wengi tunaosajili ni Sisi wenyewe tu uwa tunawataka.Muda wowote dili litatikiView attachment 1122110
Hiv sisi fan wa Arsenal ni mchezaji gani ambaye tulimtaka aliyekuwa na ushindani kwenye soko.? Yani ukute Labda man city au Chelsea au Liverpool wanamtaka uyo mchezaji ..halafu yeye mwenyewe akachagua kuja arsenal. Me naona wachezaji wengi tunaosajili ni Sisi wenyewe tu uwa tunawataka.
Basi wachukueni wakina Ajib, Kichuya uko.. Izo mil 40 nying Sana kwao.Hatujui
Kwanni nyie mnasajili wachezaji ambao hawana ushindani wowote.?Kwan kuna timu inasajili mchezaji isiyemtaka????...... Hz ban zinalevya watu kwa kweli
Ww hata uwezo wa kuwachukua hunaBasi wachukueni wakina Ajib, Kichuya uko.. Izo mil 40 nying Sana kwao.
Ingekuwa hivyo bac tungesajili magarasha....hv wachezaji kama ozil,laca,auba,xhaka nk unadhani wanaweza suswa na timu nyingine sokoni??? Nyie ndo mnasajili wachezaji walioachwa ka higuain,giroud na wengne huko...we unakurupuka tu unakimbia thread yako unafuata za watu....tulia next season ukunwe pumbav nyieKwanni nyie mnasajili wachezaji ambao hawana ushindani wowote.?
Auba alitakiwa cheli na arsenal....akaenda arsenalKwanni nyie mnasajili wachezaji ambao hawana ushindani wowote.?
Yaani ni kama mchezaji wa mchangani au gombania goli, ni mzuri kwa mpira mguuni, ana skills za kutosha, tatizo sijawahi kumuona akiwa na jicho la pasi ama kuwa mfungaji mzuri..Atajirekebisha tu kama auba.....
Ila si anaweza walisha washambuliaji mipira mingi???
Acha wivu Arsenal huwa wanatarget nzur , haimaanishi kila mchezaji anaetakwa na hizo timu bas na Arsenal wamtake tzm torreira na geundoz ni usajil mzur tena mara100 ya Morata na higuan sasa huon kama nyiny cheltako ni wacheza kamari tu kila siku mnapapaswaHiv sisi fan wa Arsenal ni mchezaji gani ambaye tulimtaka aliyekuwa na ushindani kwenye soko.? Yani ukute Labda man city au Chelsea au Liverpool wanamtaka uyo mchezaji ..halafu yeye mwenyewe akachagua kuja arsenal. Me naona wachezaji wengi tunaosajili ni Sisi wenyewe tu uwa tunawataka.
Yaan Arsenal na spurs huwa wana uzi mtamu kulikoHuu Uzi wenu nawaonea hadi wivu
Yaan Arsenal na spurs huwa wana uzi mtamu kuliko
Mkuu wale yokohama (cheltako) wanauzi mbovu now hata sis tunawazid uzi wao uliokuwa mzur ni ule wa samsungHatari sana mkuu
Nikicheki pale top 6 labda tumewazidi Man City kwa Uzi mzuri Ila wote wanatuzidi
Mkuu wale yokohama (cheltako) wanauzi mbovu now hata sis tunawazid uzi wao uliokuwa mzur ni ule wa samsung
Kwanni nyie mnasajili wachezaji ambao hawana ushindani wowote.?
Mwambie kijana wako aelewe.Labda
Ila Uzi wao nimeukubaligi sana aisee
Wale Newbalance wanatutengenezeaga Uzi ambao hauko level za juu aisee
Sisi hatuna uzi maana hatuna za kuremba kama arsenal au spurs ..sisi tunataka makombe tu.Mkuu wale yokohama (cheltako) wanauzi mbovu now hata sis tunawazid uzi wao uliokuwa mzur ni ule wa samsung