Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwan kuna timu inasajili mchezaji isiyemtaka????...... Hz ban zinalevya watu kwa kweli
Hiv sisi fan wa Arsenal ni mchezaji gani ambaye tulimtaka aliyekuwa na ushindani kwenye soko.? Yani ukute Labda man city au Chelsea au Liverpool wanamtaka uyo mchezaji ..halafu yeye mwenyewe akachagua kuja arsenal. Me naona wachezaji wengi tunaosajili ni Sisi wenyewe tu uwa tunawataka.
 
Kwanni nyie mnasajili wachezaji ambao hawana ushindani wowote.?
Ingekuwa hivyo bac tungesajili magarasha....hv wachezaji kama ozil,laca,auba,xhaka nk unadhani wanaweza suswa na timu nyingine sokoni??? Nyie ndo mnasajili wachezaji walioachwa ka higuain,giroud na wengne huko...we unakurupuka tu unakimbia thread yako unafuata za watu....tulia next season ukunwe pumbav nyie
 
Atajirekebisha tu kama auba.....
Ila si anaweza walisha washambuliaji mipira mingi???
Yaani ni kama mchezaji wa mchangani au gombania goli, ni mzuri kwa mpira mguuni, ana skills za kutosha, tatizo sijawahi kumuona akiwa na jicho la pasi ama kuwa mfungaji mzuri..

Labda unai kaona kitu tofauti na mimi.
 
Hiv sisi fan wa Arsenal ni mchezaji gani ambaye tulimtaka aliyekuwa na ushindani kwenye soko.? Yani ukute Labda man city au Chelsea au Liverpool wanamtaka uyo mchezaji ..halafu yeye mwenyewe akachagua kuja arsenal. Me naona wachezaji wengi tunaosajili ni Sisi wenyewe tu uwa tunawataka.
Acha wivu Arsenal huwa wanatarget nzur , haimaanishi kila mchezaji anaetakwa na hizo timu bas na Arsenal wamtake tzm torreira na geundoz ni usajil mzur tena mara100 ya Morata na higuan sasa huon kama nyiny cheltako ni wacheza kamari tu kila siku mnapapaswa
 
*FAHAMU USIYOJAJUA ndani ya ARSENAL*

Najua unajua ila jua zaidi.

Arsenal kwa sasa inakitengo kinachoitwa *TECHNICAL DIRECTOR*
Hiki kitengo ndicho amabacho kinashughulikia masuala ya usajili yote.

Kitengo hiki kinafanya kazi kuu tatu

1.Kuwapandisha first team wachezaji waliokwiva kutoka katika Academy ya Arsenal

2.kuwatafuta wachezaji chipukizi wenye vipaji kokote walipo duniani kwa ajili ya kuwapeleka katika Academy ya Arsenal ili baadae waitumikie First team

3.Kufanya usajili Wa First team ya Arsenal - kitengo hiki ndicho ambacho kinahusika na usajili wowote ambao utakua ingizo jipya kwa sasa wanaofanya kazi katika kitengo hiki ni wajibu kwao kufahamu mapungufu ya First team na kusajili wachezaji Wa kuziba nafasi hiyo..katika msimu mzima wao wanahaha kutafuta tiba ya Arsenal na kuweza kufanya usajili Wa wachezaji wanaohitajika katika nafasi zao.


*NB* wanaofanya kazi hapa wanatakiwa waijue timu kwa kina zaidi..

Kitengo hiki kinawajibika kumwandaa *UNAI* kuwa ni wachezaji wapi wanapandishwa kutoka Academy na wachezaji wapi ni Ingizo Jipya

Ahsante
IMG-20190524-WA0008.jpeg
 
Arsenal wameweka vipaumbele katika usajili wa msimu ujao.

1. Kiasi cha fedha za usajili ni pauni milioni 40 pamoja na fedha yoyote itakayotokana na mauzo ya wachezaji kadhaa kati ya Mustafi, Carl Jenkinson, Mesut Ozil, Laurent Koscielny, Nacho Monreal na Saed Kolasinac.

Hao wachezaji hapo juu wanaleta kama pauni milioni 50 kama wakiuzwa.

2. Lacazette na Aubameyang hawataondoka Arsenal na mikataba yao itaboreshwa, ingawa kuna hoja ya Arsenal kufikiria dau kubwa kwa Aubameyang la kutoka China endapo litawekwa mezani.

3. Kulingana na bajeti iliyopo (milioni 40) na nyongeza kidogo Arsenal bila shaka watamsajili Yannick Carrasco kwa pauni kati ya milioni 20-25 ambae walijaribu kumsajili mwezi January mwaka huu.

Hivyo nafasi ya mshambulaji wa pembeni itakuwa imejazwa ingawa kama nilivyoema hapo awali kwamba Arsenal pia wanamfuatilia Ryan Fraser wa Bournemouth ambao wameweka ada ya usajili si chini ya pauni milioni 30.

4. Nafasi ya beki wa kati ndio anasajiliwa Joaquim Andersen ambae ni beki mzuri kwa kuumiliki mpira na utulivu akiwa kwenye nafasi yake na huyu ataziba nafasi ya Stephan Lichtsteiner na atasaidiana na Sokratis huku Laurent Koscielny akishuka bench au kuuzwa.

5. Denis Praet anakuja kujaza nafai ya Aaron Ramsey ingawa ripoti ya opta index yaonyesha Praet kutofikia kiwango cha uchezaji cha Ramsey lakini kocha Emery atatarajiwa kubadili mfumo wa uchezaji wa timu hiyo.

6. Kuna mshambuliaji mwingine wa pemneni ambae Arsenal wanataka aje kuziba nafasi ya Danny Wellbeck nae huyu aitwa Alexis Claude-Maurice, ambae klabu yake ya Orient ndio alikotoka Matteo Guendouzi.

7. Nafasi ingine ambayo Arsenal wanatarajia kuziba ni ya beki wa kushoto na beki mdogo wa Celtic aitwae Kieran Tierney anaonekana anafaa kuja kuziba nafasi ya Nacho Monreal na Saed Kolasinac

8. Denis Suarez anarudi Barcelona baada ya kufeli kuonyesha umahiri wake..

9. Arsenal haitasajili kipa na kipa namba mbili kwa Leno atakuwa ni Emilian Martinez ambae alipelekwa timu ya Reading kwa mkopo.

Hivyo basi tuanze kusikilizia kati ya jumatatu au jumanne kwa kuanzia na usajili wa kwanza kwa Arsenal wa mshambuliaji wa pembeni Yannick Carrasco.

Hivyo tutege masikio kusikilizia majina haya: beki wa kati Joaquim Andersen, beki wa kushoto Kieran Tierney, mshambuliaji kiungo (attacking midfielder) Denis Praet, Yannick Carrasco, na mshambuliaji Alexis Claude-Maurice.
 
Labda

Ila Uzi wao nimeukubaligi sana aisee

Wale Newbalance wanatutengenezeaga Uzi ambao hauko level za juu aisee
Mwambie kijana wako aelewe.

Kufananisha uzi wa Chelsea na Liverpool ni kosa kubwa. Uzi wa Liverpool afadhali ata wa Simba SC
 
Mkuu wale yokohama (cheltako) wanauzi mbovu now hata sis tunawazid uzi wao uliokuwa mzur ni ule wa samsung
Sisi hatuna uzi maana hatuna za kuremba kama arsenal au spurs ..sisi tunataka makombe tu.

Kiukweli sisi tuna uzi wa kawaida kuliko wa spurs au arsenal au hata manure. Lakini kwa ubora Liverpool ndo ana uzi m'bovu kuliko nyuzi zote pale EPL. Hata Blackburn wana uzi mkali kuliko Liverpool.
 
Back
Top Bottom