eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,227
- 16,178
Wazee wa Europa league kila msimu mpoooo
Kama ni kweli...basi ni jambo jemaWakuu nimeona habari ya kusecure mikataba ya forward wetu wawil (Auba na laca) , vipi bodi imesahanyooka nini??
May be bodi imeona umuhimu wa kutoa mishahara mikubwa kwa wachezaji muhimu baada ya kumpoteza Ramsey.
Jibu Italipata 29 mayWazee wa Europa league kila msimu mpoooo
Salah sio mwafrika. Ni mwarabu aliyezaliwa Africa..Na wote ni Waafrika
Salah sio mwafrika. Ni mwarabu aliyezaliwa Africa..
The End Of Uonevu wa Mike Dean,,Michael Olivier,,John Moss
Mwisho wa Arsenal Kuonewa....Sasa ndo Ligi itanoga....Wale wanaosemaga VAR inaharibu radha ya Mpira wanunue kabsa Ndimu ya Kuzimulia Radha....View attachment 1096075
Dah yalikuwa maombi yangu ya kila siku kuhusu hiliThe End Of Uonevu wa Mike Dean,,Michael Olivier,,John Moss
Mwisho wa Arsenal Kuonewa....Sasa ndo Ligi itanoga....Wale wanaosemaga VAR inaharibu radha ya Mpira wanunue kabsa Ndimu ya Kuzimulia Radha....View attachment 1096075
Ila uonevu utapungua kwa kiasi fulaniHivi hujawahi kuona World Cup & Champion League anakamuliwa mtu mbele ya VAR?
Nakuhakikishia VAR haitazuia mtu kuonewa.
Angalau itasaidia kwa upande Fulani ,kuna maamuzi yanafanyikaga yakipuuzi sanaHivi hujawahi kuona World Cup & Champion League anakamuliwa mtu mbele ya VAR?
Nakuhakikishia VAR haitazuia mtu kuonewa.
Unai Emery iondoe hii mizoga;
Mkuu Manchester city wamefungiwa kusajili au kucheza UCL?, naomba ufafanuzi tafadhali.HII NDIYO MAANA HALISI YA KUFA KUFAANA.
Unaambiwa kufungiwa kwa Manchester City kutawapa faida Arsenal na Manchester United kucheza Uefa.
Arsenal yupo na fasi ya 5 na Man U yupo nafasi ya 6.
Arsenal watapata faida hata kama hawajashinda Europa kwa vile wapo nafasi ya 5 watasogezwa juu ili zitimie timu nne kama kawaida.
Ila Man U wao watategemea matokeo ya Arsenal washinde Europa Arsenal wakibeba kombe la Europa watakuwa wame fudhu kupitia Europa ndipo Man U watachukuliwa kuziba nafasi ya Man City ili zitimie timu 5.
Kama Arsenal wasipochukua kombe la Europa itakua faida kwa Arsenal tu na Man U itakula kwao.
Hapo nawaona siku hiyo wale mashabiki wote wa Man U waliopanga kuishangilia Chelsea wataamia kuishangilia Arsenal sasa...
Wanachunguzwa kwa kukiuka sheria za matumizi ya fedha, kesi yao ipo jikon Leo Sky sport wametoa taarifa, adhabu yake anafungiwa kucheza UCL, kwa msimu mmoja ,hivo nafasi yake itachukuliwa na arsenal au man uMkuu Manchester city wamefungiwa kusajili au kucheza UCL?, naomba ufafanuzi tafadhali.