Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Man city 6-0 huko

Hii ndio Epl bado manyumbu,

Mimi naeachora tu , kimbunga kilichopo mbele ni kikubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikia wewe chabiki mnazi wa arsenal ..sisi man utd mechi kubwa zote tunamalizia OT kasoro moja tu na arsenal si huyo unayemuamini Liverpool unajua record zake akija pale OT huwa anatika mikono mitupu na magoli ya kutosha ..mechi ya kwanza tulifungwa anfield kutokana na mbinu mbovu za mou...sasa subiria iyo jumapili uone then ueudi hapa na excuse.. Man utd ya sasa siyo kama unavyoichukulia hata hao Liverpool wenyewe pamoja na Crop wanafikiria namna ya walau kutoka na point moja pale.maana huwa wanapigwa miaka mingi tu ya sasa hivi .sasa wewe jitoe ufahamu wakati ukweli unaujua ..kama unataka nikuwekee japo record chache sema nikuletee.ili upunguze shombo la kudhani kuna ushindi pale.EPL kumfunga MTU kwenye uwanja wake ni ngumu tena kama mechi ya awali alipoteza na timu hiyo.ukitaka kuprove wqulize Chelsea watakuambia ..mechi zote walizoshinda awali za top 6 marudiano wanaambulia vipogo walianza na arsenal na Leo na city na bado vinaload....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila hawa gunners washapokea vipigo vizito kweli. Keshawahi kufa 8, mimi nikampiga 6.

Washazoea vipigo hawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Manchester city 6 Chelsea 0 weka na hiyo katika rekodi zako mkuu,sasa sijui kati ya mimi na wewe nani kapokea kipigo kizito mpaka muda huu kheeeeee kheeeeeee kheeeeee kheeeeeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeeeeee

MUNGU FUNDI SANAAAAAAAAAAAAA analipa hapa hapa duniani

siku nyingine vuka kwanza mto ndio utukane mamba
 
Gunners wazee wa vipigo heavy. Naombeni ushauri wenu jamani, nimewafata nyie walau mna experience kuntu ya vipigo heavy mlishakula 5, nikawapa 6 bado mkaja mkala 8. So kwa background hiyo nyie ni wazoefu wa vipigo heavy. Hivyo nimekuja kuomba ushauri wenu hivi mliwezaje kukabiliana na hali hii. Naombeni msaada wazoefu kuntu mliobobea kwenye matokeo ya namna hii.

Natanguliza shukrani kwenu wazoefu.

Baada ya kuzimia kwa masaa 8 hatimaye umezinduka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gunners wazee wa vipigo heavy. Naombeni ushauri wenu jamani, nimewafata nyie walau mna experience kuntu ya vipigo heavy mlishakula 5, nikawapa 6 bado mkaja mkala 8. So kwa background hiyo nyie ni wazoefu wa vipigo heavy. Hivyo nimekuja kuomba ushauri wenu hivi mliwezaje kukabiliana na hali hii. Naombeni msaada wazoefu kuntu mliobobea kwenye matokeo ya namna hii.

Natanguliza shukrani kwenu wazoefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
WEWE BADO UNA HANGOVER ZA SIXPUNCH NAKUSHAURI LALA TENA UAMKE JIONI UOGE MAJI YA BARAFU KISHA UPIGE SUPU YA KONGORO THEN RUDI HAPA ........
 
138 Reactions
Reply
Back
Top Bottom