Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kesho city anakubaka, next week nawaachia manyoya wewe na manyumbu

Sent using Jamii Forums mobile app
tena hawa kuku watapigwa mkono ili sisi tukae pale juu maana yule mbabe wao bournomouth leo kafa 3 mzuka kilainiiiiiiiiiiiiiii sasa kama timu inapigwa na kale kabournmouth 4 mtungi a.k.a miguu ya stuli ukienda pale etihad unaachwaje kwa mfano.............unapigwa 5 then wanaume tunakaa juu hapo
 
Wastani wa idadi ya mashabiki kuingia uwanjani msimu huu:

Man United: 74,503
Arsenal: 59,907
West Ham: 57,398
Man City: 54,113
️ Tottenham: 54,030
Liverpool: 52,781
️ Newcastle: 50,948
Chelsea: 40,509

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio timu sina kabisa. Ila siyo kinyonge kama unavyodhani. Round ya kwanza iliyoisha ni Tot pekee ndio kanipiga wengine wote walikua wanahaha. Sasa round ya pili ndio unataka kunitishia nyau? Nadhani Chelsea huifahamu vizuri, yan katika top 6 yote nipoteze mechi zote hizo. Hahaaaaa

Ngoja nikuoneshe nachoenda kufanya The Citizen Jpil pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli leo umenionyesha ulichoenda kukifanya ETHAD,mimi nakuhesabia ya pili hii ushapoteza,bado tatu moja OT ,Anified na kwa Darajani na Spurs,weekend ijayo FA na Man Utd.
 
Mkuu mimi nimeshakubali timu sina. Ila siyo kinyonge kama unavyo dhani. Naenda kwa Man City kutafuta draw tu. Then namsubiri Tot nyumbani nimbutue kama tatu za maana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli leo nimeona siyo kinyone ,ila hii 6-0 bila inabidi tuitafutie jina lingine maanake ni zaiid ya unyonge,nimepoteza hela yangu bure kuangalia Chelsea.
 
138 Reactions
Reply
Back
Top Bottom