Mpini Wa Chuma
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 1,729
- 1,325
Arsenal yetu afu naona watu wamekimbia humu kumbe Hampendi kufungwa eee....hapa ndio tumpime emery je EPL aiweza hasa timu isio toa mafungu kama arsenal? Je kweli n mrithi wa Wenger?
No sisi tupo hapa masika na kiangaziArsenal yetu afu naona watu wamekimbia humu kumbe Hampendi kufungwa eee....hapa ndio tumpime emery je EPL aiweza hasa timu isio toa mafungu kama arsenal? Je kweli n mrithi wa Wenger?
Tatizo la ARSENAL siyo KOCHA kama ilivyokuwa kwa Man U. Arsenal haina serious investor ..haifanyi usajili wa kukamilisha uundwaji wa timu. Inasajili striker msimu huu, beki midfilder, kipa haisajili. Mwakani inasajiili kipa, striker ameshachoka!
Kumbe kina Nyika wapo hadi UlayaNIAJE GUNNERS
Aisee nimewamiss
Ok.
Moja ya vitu ambavyo vinaumiza kichwa mashabiki wa Arsenal ni kuhusu usajili na jinsi ya kujenga timu ya ushindi tuweze kuishia kule juu ya nne bora
Tumeimiss CHAMPIONS LEAGUE and it's our destiny to be there ila wakati linatokea suala hili la usajili imenibidi nichanganue kwanini UNAI EMERY anyimwe pesa.....? Sidhani kama peke angu ndo najiuliza Hivi najua hata nyie mnajiuliza Hivi.
TRANSFER POLICY alizozijenga ARSENE WENGER ndo chanzo kikubwa cha kukuza urafiki wake na STANLEY KROENKE napenda kumuita MPUMBAVU WA KIMAREKANI na sakata hili lilizaliwa baada ya mifumo ya WENGER kumjazia mapesa ya faida mzee KROENKE
Itambulike kwamba lilipokuja suala la ujenzi wa uwanja wa EMIRATES ndio chanzo cha WENGER kumshauri KROENKE kubadili transfer policy na wakaamua kusajili kwa ela ndogo na kukuza kwa ela kubwa ili kulipa deni la uwanja na kuingiza faida kwa wakati mmoja na ndipo tuliposhuhudia kuanzia miaka ya 2006 tulianza sana kupoteza nyota wetu muhimu
Itambulike kwamba mzee wenger ni PROFESSOR WA UCHUMI hivyo mbinu zake ziliweza kumpa KROENKE pesa za faida saana na kunogewa na hii tabia baada ya kuwanunua wachezaji kama RVP, NASRI, FABREGAS, CLICHY, HENRY, HLEB, na wengineo wengi walichukuliwa kwa pesa ndogo ila wakauza kwa faida hapa ndo KROENKE alizidi kudatishwa na policy hizi
Asiwaambie mtu pesa tamu Ndugu zangu nadhani mnajua hilo
UNAI EMERY anateswa na TRANSFER POLICY alizozikuta na SVEN MISLITANTS anataka kusepa kulingana na hizi transfer policy na hata huyo EDU ambae ni mchezaji wa zamani wa Arsenal aliechaguliwa kumrithi SVEN MISLITANTS akiondoka amesema hatokuja mpaka transfer policy ibadilishwe
Mnadhani UNAI EMERY haumii......? Timu ikifungwa huwa namuangalia anavyohamasisha namuangalia macho yake anaumizwa from to be with NEYMAR down to IWOBI anatamani awapige wakina MAN CITY lakini MAINTLAND NILES hana ubavu wa kumzuia LEROY SANE
Leo hii sisi wa kumchukua JAMES RODRIGUEZ Fundi kwa mkopo wa POUND MILLION 3...? huyu ni wa kumchukua jumla huyu maana hana pa kwenda na ni Fundi balaaaa, sisi wa kushindwa mshahara wa CARASCO......?
Mnadhani UNAI EMERY anapenda OZIL aondoke pale......? Kaambiwa hapewi pesa mpaka OZIL aondoke maana mshahara wake utawafanya wengine wadai mshahara mkubwa na Ndio chanzo cha RAMSEY kudai mshahara mnono
TRANSFER POLICY ndo tatizo zibadilishwe kwanza ndio tumlaumu UNAI EMERY coz yeye anamtaka mchezaji anaambiwa hela hakuna
Nani kakuambia Kazi bila nyenzo inafanyika.....?
Kocha aletewe anaowataka
WAMPE PESA WAACHE UBWEGE
#COYGView attachment 997356
Sent using Jamii Forums mobile app
duu mara hii tena? Subirini kwanza jmos chelsea anakuja ndio mtasema yoteUnai-OUT
Unai-OUT
Unai-OUT
Unai-OUT
Unai-OUT
Unai-OUT
Unai-OUT
Unai-OUT
Unai-OUT
Unai-OUT
Sina uhakika kama haya maandish yako yatakua na impact yoyote kwenye clubUnai-OUT
Unai-OUT
Unai-OUT
Unai-OUT
Unai-OUT
Unai-OUT
Unai-OUT
Unai-OUT
Unai-OUT
Unai-OUT
Mshahara wa ozil unaweza kulipa wachezaji wakali wawili.....tatizo financial policy ya Arsenal mizinguo sana na ili hili libadilike inabidi stan afe maana kusema kwamba atauza hisa zake hilo tusahau kabisaaaaaaaaaa mana kama Usmanov alishindwa kumshawishi sisi washabiki hatutoweza kamweNIAJE GUNNERS
Aisee nimewamiss
Ok.
Moja ya vitu ambavyo vinaumiza kichwa mashabiki wa Arsenal ni kuhusu usajili na jinsi ya kujenga timu ya ushindi tuweze kuishia kule juu ya nne bora
Tumeimiss CHAMPIONS LEAGUE and it's our destiny to be there ila wakati linatokea suala hili la usajili imenibidi nichanganue kwanini UNAI EMERY anyimwe pesa.....? Sidhani kama peke angu ndo najiuliza Hivi najua hata nyie mnajiuliza Hivi.
TRANSFER POLICY alizozijenga ARSENE WENGER ndo chanzo kikubwa cha kukuza urafiki wake na STANLEY KROENKE napenda kumuita MPUMBAVU WA KIMAREKANI na sakata hili lilizaliwa baada ya mifumo ya WENGER kumjazia mapesa ya faida mzee KROENKE
Itambulike kwamba lilipokuja suala la ujenzi wa uwanja wa EMIRATES ndio chanzo cha WENGER kumshauri KROENKE kubadili transfer policy na wakaamua kusajili kwa ela ndogo na kukuza kwa ela kubwa ili kulipa deni la uwanja na kuingiza faida kwa wakati mmoja na ndipo tuliposhuhudia kuanzia miaka ya 2006 tulianza sana kupoteza nyota wetu muhimu
Itambulike kwamba mzee wenger ni PROFESSOR WA UCHUMI hivyo mbinu zake ziliweza kumpa KROENKE pesa za faida saana na kunogewa na hii tabia baada ya kuwanunua wachezaji kama RVP, NASRI, FABREGAS, CLICHY, HENRY, HLEB, na wengineo wengi walichukuliwa kwa pesa ndogo ila wakauza kwa faida hapa ndo KROENKE alizidi kudatishwa na policy hizi
Asiwaambie mtu pesa tamu Ndugu zangu nadhani mnajua hilo
UNAI EMERY anateswa na TRANSFER POLICY alizozikuta na SVEN MISLITANTS anataka kusepa kulingana na hizi transfer policy na hata huyo EDU ambae ni mchezaji wa zamani wa Arsenal aliechaguliwa kumrithi SVEN MISLITANTS akiondoka amesema hatokuja mpaka transfer policy ibadilishwe
Mnadhani UNAI EMERY haumii......? Timu ikifungwa huwa namuangalia anavyohamasisha namuangalia macho yake anaumizwa from to be with NEYMAR down to IWOBI anatamani awapige wakina MAN CITY lakini MAINTLAND NILES hana ubavu wa kumzuia LEROY SANE
Leo hii sisi wa kumchukua JAMES RODRIGUEZ Fundi kwa mkopo wa POUND MILLION 3...? huyu ni wa kumchukua jumla huyu maana hana pa kwenda na ni Fundi balaaaa, sisi wa kushindwa mshahara wa CARASCO......?
Mnadhani UNAI EMERY anapenda OZIL aondoke pale......? Kaambiwa hapewi pesa mpaka OZIL aondoke maana mshahara wake utawafanya wengine wadai mshahara mkubwa na Ndio chanzo cha RAMSEY kudai mshahara mnono
TRANSFER POLICY ndo tatizo zibadilishwe kwanza ndio tumlaumu UNAI EMERY coz yeye anamtaka mchezaji anaambiwa hela hakuna
Nani kakuambia Kazi bila nyenzo inafanyika.....?
Kocha aletewe anaowataka
WAMPE PESA WAACHE UBWEGE
#COYGView attachment 997356
Sent using Jamii Forums mobile app
Barca wamekubali hii deal?maana jamaa walikuwa wanaweka ngumu hawataki suala la loan,wanataka cash deal️ | Denis Suarez is getting closer to Arsenal from FC Barcelona. Advanced talks and he wants Gunners and leave from Catalogna. Unai Emery has offered a loan with option to buy (€22M) and Barça could accept.
[@NicoSchira ]View attachment 997570
Sent using Jamii Forums mobile app
Arsenal ni team yenye Management ya kibahili sana, yani hii team ni miongon mwa Top Club zinazoingiza mpunga mwingi kupitia endorsements, etc lakin linapokuja suala la kuingia mfukon na kuvuta wachezaj wa maana utata ndio unaanzia hapo.
Asilimia kubwa ya wachezaj wake wapya kama Auba etc wote huichagua Arsenal kwa mapenz yao kama kutimiza ndoto zao za tangu utoton lakin Arsenal imeshindwa kujiongeza.
Mimi kama mpinzan, naumia napoona team inazama na kupunguza upinzan wa EPL.
Karibuni Liverpool milango ipo wazi bado hamjachelewa