Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Zimebaki siku 4 muanze rasmi kugombea nafasi ya 6 na wakna wolves huko.

Hii sio team, na haijawah kuwa team bali ni pango la walowezi wanaovaa jezi.
Nenda kwenu huko tuendelee ujinga wako kwani umekuwa au umefukuzwa kwenye timu yako hadi uje huku. Ni burudani tu kuwa mashabiki wa timu fulani kwani kuna kitu unachangia ktk klabu hata kadi huna unakaa kutupigia kelele hata uwanjani hujawahi kuingia hata siku moja.

Acha ulimbukeni GUNNERS tutabaki kuwa GUNNERS forever hapa hajaitwa mtu. Timu inakutesa unakosa kulala wakati wahusika wametulia. Liverpool kasota sana top 6 miaka nenda rudi kwa sasa amerudi, man bado anahangaika lak missing miwili kateka top 6 Chelsea naye sasa wewe mashabiki gani wa kutupigia kelele za kijinga hapa. Mpira huujui kabisa, angalia Madrid anavyohaha sasa hivi akiwa bingwa UEFA.

Sent using Jamii Forums mobile app
We are the GUNNERS forever.
 
Msimamo waLigi baada ya Ole Gunnar kuja United
20190115_095317_rmscr-1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom