jamani nisameheni kwani sikuangalia game kwenye "TUNGURI" bali nilijua wazi sevilla hawatauweza mziki wa GUNNERS kwani sisi ndio kipimo tosha cha ubora wa timu yoyoye ile.
kesho na derb sitaki kutabiri kwani tutawabebesha zigo la magoli.
ole game ya kesho vipi?
Arsenal watashinda kesho pengine kwa goli moja au mawili sitegemei wao kushinda kwa magoli mengi.
Dakika ya 25 ya kipindi cha kwanza Arsenal 2 Derby 0.
hawa watoto wa Arsenal soo huyu Adebayor akiimudu ball control vizuri basi lazima Madrid walete makeke kwake na kwa Fabregas dakika ya 88 Arsenal 5 Derby 0
Jamani nyinyi Arsenal Mbona mnataka kutisha watu? Hivi Thierry Henry ndio alikuwa bogie man wenu. Huu moto wenu mkali.
Tetesi zinasema anataka kurudi ......Teh TEh TEH Acheni hizo.
Jamani nyinyi Arsenal Mbona mnataka kutisha watu? Hivi Thierry Henry ndio alikuwa bogie man wenu. Huu moto wenu mkali.
Tetesi zinasema anataka kurudi ......Teh TEh TEH Acheni hizo.
^^ndie nani huyo?
BBC sports editor Mihir Bose says Arsenal can now argue that this brings them into the big league of European earners, just behind Real Madrid.
"Manchester United will have to put on another £32m from last year to match the Gunners - Chelsea will have to show an increase of nearly £50m; Liverpool £80m and Tottenham £127m to match Arsenal," stated Bose.
haya ndio mafanikio tunayoyataka soka tunatandaza na mifweza inaongezeka