Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hivi bado mnaamini Arsenal hawahitaji strikers/finishers? Maana kitakacho iangusha Arsenal ni ufungaji magoli.
ManU wakiaanza kufunga magoli, watawaacha Arsenal wanasuasua. Chelsea ndo kabisa, yenyewe yako efficient utafikiri timu ya MECCO enzi zileeee.
 
Oya wewe; acha unazi... Man kimeo kabisa!

Oya nyie brazameni na Ole acha kuleta siasa kwenye soka hapa. Ninyi hamwezi kukaa zizi moja nahisi --- mtabamizana tu.

Man mwaka huu kazi mnayo, jifariji tu; na big G lazima mnunue lundo kumsaidia jamaa yenu. Kama si Arsenal basi jua Chelsea watapelekesha. Man ninawapa prediction ndogo sana.

Pole defunkadelic kwani matarajio yako yanaonekana makubwa kwa hawa mashetani, kamata bunduki ikibidi usaidiane na brazameni kupambana na "The Bluez" :)

Kujipa moyo muhimu babu eh!
 
Mnyoo, mimi Arsenal damu, ila tunapochemsha lazima tuseme. Arsenal wangekuwa na mfungaji, leo wangeweza kupachika si chini ya magoli 4. Yaani, I pray Eduardo awe anafunga magoli kichizi. Zaidi ya hapo sioni magoli. Zitakuwa chenga twawala magoli mwatufunga.
Unapoangalia ligi na washindani, lazima uangalie na timu zingine zimekaa vipi. ManU wanamisfire kama Arsenal last year, ila wakianza kufunga, hawatafanya makosa kama sisi. Huo ni ukweli wa mambo (Saha na Ronaldo wakirudi).
Chelsea ndo wanaboa. Yaani mpira mbovu, lakini wanafunga kagoli kamoja. Liverpool bado sijaona, ila lets give credit where credit is due........uliona leo Torres alivyousogeza mpira katikati ya madefender halafu aka-accelarate? Aliwaacha jamaa kwenye mataa duuh!!
 
huu ni MWAKA WA SHETANI kwa mashetani wa kijani na wala si wekundu tena.

ARSENAL kila ki2 kitakuwa kwenye mstari wala hakuna haja ya kulaumu kuongeza mshambuliaji wa ziada

EDUARDO akianza kucheka na nyavu kila m2 atafunga mdomo wake ila kwa sasa ni kurekebisha makosa madogo madogo ambayo ni ya kiufundi zaidi.

Kwani kwa kiasi kukubwa kinachotukwamisha kwa ss ni jinsi ya kupitisha mpira nyavuni basi

Van Persia nadhani bado anayo chance n zuri ya kuthibitishia umma kuwa yy ndio mrithi kamili wa Henry

Cha muhimu kwa jana tumepata pointi 3 ambazo Man Utd hawana licha ya kucheza michezo 3

Hamshangai kwa hilo?
 
Arsenal 3-1 Portsmouth

Do you still dream about Henry?............Teh TEH teh ....

Don't think so.
 
Arsenal 3-1 Portsmouth

Do you still dream about Henry?............Teh TEH teh ....

Don't think so.

Ole, from the beginning i always thought THenry was too big 4 arsenal, so i was happy he went. But until now, am still not convinced with the strike force. But am happier day by day.
Ila nasubiri Edu aanze kufunga magoli. So far so good.
Chelsea got whooped!! Mechi ilikuwa tamu. A Villa walikuwa wagumu duuuh!!
 
Oya wewe; acha unazi... Man kimeo kabisa!

Oya nyie brazameni na Ole acha kuleta siasa kwenye soka hapa. Ninyi hamwezi kukaa zizi moja nahisi --- mtabamizana tu.

Man mwaka huu kazi mnayo, jifariji tu; na big G lazima mnunue lundo kumsaidia jamaa yenu. Kama si Arsenal basi jua Chelsea watapelekesha. Man ninawapa prediction ndogo sana.

Pole defunkadelic kwani matarajio yako yanaonekana makubwa kwa hawa mashetani, kamata bunduki ikibidi usaidiane na brazameni kupambana na "The Bluez" :)

Kujipa moyo muhimu babu eh!

Inaonekana Blues bila Lampard wanasuasua...
 
mzuka leo km kawa wazee wazima wamewapoteza spurs kwa kipigo kikali ambacho hakuna aliye tarajia

kweli arsenal ni mzuka wa ajabu

waungwana mpooooooooooooooooo
 
Teh TEh TEh ........... give good credit to the team. Down for the entire 64 minutes and to score 3 goals, it shows how the team is maturing faster than expected. Other teams are just watching carefully.
 
(spurs)ni watani wa jadi hao, kuwafunga magoli mengi itakuwa 'kuukebehi' utani!

Wewee, kabla Arsenal hawajafunga, hata waliporudisha 1-1, Spuds waliwakosakosa Arsenal (ingawa Arsenal wamecheza vizuri zaidi). Arsenal bado hawajawa clinical, maana Adebayor kakosa nafasi kibao tu.
Of all players, Gael Clichy anazidi ku-shine.
 
kesho ni mzuka 2 arsenal vs sevilla

nadhani tutawapiga 3-0 hakuna cha kutuzuia kulawamba hao sevilla

We umeangalia kwenye tunguri nini?
Mazee Arsenal wanafurahisha kwa kweli. Sagna sijui wamelitoa wapi duuh.......
Arsenal play football like beautiful poetry.
 
Back
Top Bottom