Arsenal (The Gunners) | Special Thread

KUNA TETESI KUWA CHELSEA WANATAKA KUMSAJILI TENA PETER CECH
Yah wanamchukua maana tibaut anaenda madrid ,

Binafs nipo tofaut kimawazo na mashabik weng wa arsenal, mm ni kipenz cha Cech, nitaumia akiondoka, naamin ubovu wa bek za kati, Kukosekana Namba 6 natural ndio sababu ya Cech kufungwa vile, ukiacha maboko machache tu yake binafs ambayo hata kina Neur,degea wameyafanya WC
 
Nikweli cech ni kipa bora tatizo ni beki na no 6 na hatujatatua bado huyo sokratis simuoni ka suluhisho lechsteiner umri umesonga hawezi tusaidia kwa asilimia 100 pia monreal amekuwa katika kiwango kizuri kwa misimu miwili mfululizo nahofia kuhusu kuhama au kuchoka coz nae umri umesogea 32 sasa na mbadala wake sioni kocienly majeruhi yanamtoa kwenye ubora wake ajabu mimi still namuona beki wa kuaminika naona ni mavnopolous na mustafi iwapo watapata proper tactics ya kuwaparten!
 
Mechi za kirafiki
Mabingwa watetezi wa ligi ya Uingereza Manchester City wataelekea nchini Marekani kwa ziara ya ambayo itashirikisha mechi za kirafiki dhidi ya wapinzani wao wa Uingereza Chelsea na Liverpool.
Klabu hizo tatu zitaungana na klabu za Manchester United, Arsenal na Tottenham katika mchunao huo wa mabingwa wa kombe la kimataifa
Shindano hilo la kila mwaka pia litashirikisha mabingwa wa Uhispania, Itali, Ufaransa na Ujerumani -Barcelona, Juventus, PSG na Bayern Munich - pamoja na Benfica na Atletico Madrid.

Liverpool itakabiliana na klabu zote mbili za Manchester katika kipindi cha siku tatu, huku Chelsea ikichuana na wapinzani wao wa London Arsenal katika mji wa Dublin Agosti mosi.
Mabingwa watetezi wa kombe la FA Chelsea watakabiliana na Manchester City katika kombe la Community Shield katika uwanja wa Wembley mnamo tarehe 5 Agosti.
Wiki mbili kabla ya mechi hiyo Chelsea itasafiri maili 17,982- magharibi mwa Australia ili kuchuana na Perth Glory.

Mechi za kirafiki kabla ya msimu wa ligi ya Premier kuanza:

Arsenal

14 Julai: Boreham Wood 0-8 Arsenal (Meadow Park)

26 Julai: Arsenal v Atletico Madrid (Singapore Sports Hub)

28 Julai: Arsenal v Paris St-Germain (Singapore Sports Hub)

1 Agosti: Arsenal v Chelsea (Aviva Stadium, Dublin)

4 Agosti: Arsenal v Sevilla (Friends Arena, Stockholm)
 
Tumefungwa leo Arsenal 1- 2 Brentford. Makosa yalikuwa ya kipa Mjerumani.

Unai out now!!!!
 
Mesut Ozil ameamua kuachana rasmi na timu yake ya Taifa(Germany) baada ya mvutano wa muda mrefu kutokana na picha yake aliopiga na Raisi wa Uturuki Erdogan,Leo Ozil ametoa statement ya kuachana na timu akilalamika kubaguliwa kutokana asili yake pamoja na kua yeye ni muislamu na pia amefedheheshwa na lawama toka kwa waandishi wa habari wa Germany wanatoa lawama kua yeye ndio sababu timu yao kutolewa mapema kwenye kombe la Dunia
Nita share hiyo statement soon.
 
Nimeisoma hiyo statement yake, you can feel sorry for a lad, but in reality hakufanya poa kupiga picha zile kwa kipindi kama hiki, though media za ujeruman zimeikuza sana
 
Nilivyoielewa statement yake ni kuwa amebaguliwa zaidi kutokana na uhusiano wake na Rais wa Uturuki na asili yake. Swala la kidini kaliuliza as by the way hivi. But wote tuna haki ya kuangalia na kuelewa picha kwa macho yetu.. Ni kweli wajerumani wamemtwisha lawama zisizo stahili. Timu ilifanya vibaya kama timu sio sababu ya mtu mmoja .
 
Nimeisoma hiyo statement yake, you can feel sorry for a lad, but in reality hakufanya poa kupiga picha zile kwa kipindi kama hiki, though media za ujeruman zimeikuza sana
Sijaona kosa la kupiga picha ile . Wajerumani walichanganya siasa na soka isivyotakiwa. Hivi angepiga picha na Trump wangesema? Trump anachukia waislam , anazilaumu nchi za ulaya kupokea Wageni, ameshaishutumu ujerumani kwa vitu vyingi..Wamemuonea kisiasa isivyotakiwa.
 
Ozil ni famous dunia nzima, ni model wa watu wengi sana duniani, watu wanaangalia anafanya nini, Turkey ilikua kwenye vuguvugu la uchaguzi na Erdogan ni mmoja wa wagombea, alafu unaenda kupiga picha na huyo mgombea, katika hali ya kawaida unadhani watu wataipokeaje?

Pili, Erdogan ni mhasama mkubwa sana wa wajerumani kwa sasa, kaua na kufunga wandishi wa habari wa ujeruman wengi sana hivi karibuni, unadhani wajerumani wangefurahia kumuona star wao akiwa na adui wa nchi yao?
 
Umeona malalamiko ya Ozil lakini? Amelaumu right wing media kwa kutranslate picha kwa malengo yao. Don't mix sports and politics.
 
Ozil ni famous dunia nzima, ni model wa watu wengi sana duniani, watu wanaangalia anafanya nini, Turkey ilikua kwenye vuguvugu la uchaguzi na Erdogan ni mmoja wa wagombea, alafu unaenda kupiga picha na huyo mgombea, katika hali ya kawaida unadhani watu wataipokeaje?

Pili, Erdogan ni mhasama mkubwa sana wa wajerumani kwa sasa, kaua na kufunga wandishi wa habari wa ujeruman wengi sana hivi karibuni, unadhani wajerumani wangefurahia kumuona star wao akiwa na adui wa nchi yao?

IMG_7663.JPG

IMG_7668.JPG

IMG_7672.JPG

IMG_7673.JPG

Naamini Ozil yuko sahihi kwenye hili ukiangalia mazingira ya kupiga picha na jinsi Wajerumani walivyoamua kutafsiri ni tofauti wamebeba siasa zaidi kuliko maana nyingine na wameenda mbali hadi kumbagua Ozil na kumuona sio mwenzao simply wame-over react.
 
Back
Top Bottom