Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsene Wenger on French tv: “ I believe Arsenal are signing too many players, Lucas Torreira did play well in this tournament but they already have Elneny in that position so i don’t see why they buy .” [beIN Sports]
Atulie hivyo hivyo
 
35999446_271756793575626_717621290642440192_n.jpg
 
8-0 so far tumecheza vzur ila sjui kama hiki n kipimo sahii....tumpongeze kocha kaanza na historia mpya.....pia Auba kaweka historia mpya ya kwake binafsi kacheza vzur ,hatric na kachukua mot...

Mm nlienda kuangalia new signing kwanza kabisa papa sokratis na ndugu yake mavo first half walicheza vzur kwa umakin na mawasiliano ya hali ya juu....

Second half Matteo kaingia kacheza vzur so far n nyumbulifu anapiga pass kwenye njia na kwa muda sahii.


Ramsey, mikh bado sjaona mpira wao so far japo wamecheza ila sio wale nliowazoea....

Chambers huyu sasa naona atawapiga watu benchi mwendelezo wake toka second leg last season adi Leo anaonekana kama mature sasa anatulia anacheza na point BA's.....

Karl jenklson nmeona kama kawaida yake fullback teleza kacheza vzur anakaba vzur,pass ,anapandisha timu anachukua nafas anapiga cross nk...kiukwel kama sio udogo wa mechi au kuzidiwa kwa wapinzan Leo huyu jamaa dakika alizocheza kaonyesha kitu.


Jeff kafunga moja ya magoli mazur sana Leo kacheza kwa kiwango chake kilekile alichokuwa anaonekana kule u21 .....


Niles huyu ukiangalia utaona kwann Wenger alimuamin na kwann unai kamwaminishia namba first team....ana akili sana huyu mswahili anajua afanye nn na kwa muda gan..




*Aubaaaaaaa*


*Aubaaaaaaaa*


*Aubaaaaaaaa*

Pia yale mazoezi ile pressing game ya man to man nimeona inaanza Fanya kazi Leo hasa kipindi cha pili....mwanzo walikuwa wnaakaba taratibu ila second half wameongeza nguvu ya kukaba ilo linaonyesha wazi kuwa mazoezi ya wiki moja hayakuwa ya bure yale watu waliokuwa wanahema kama watoto......bado pressing ni ndogo tunahitaji kuongeza juhudi hapa maana first team ilikuwa soft sana kati ila nadhan n kwa sababu waliokuwa pale n watoto tu....tofauti na second half
 
Mimi binafsi kilichonipa moyo ni kuona watu wanajaribu shoot hata za mbali pindi wanapokuwa na nafasi nzuri kitu ambacho ilikuwa ni nadra sana kukiona wakati wa wenger.. Saiz nimeona watu hawasubiri mpaka waingie uso kwa uso na golikipa ndo wa shoot.. Na zile gonga gonga zisizokuwa na maana mbele ya golikipa sikuziona.. Hii inanipa moyo kuwa watu watakuwa na uchu wa kufunga sasa na sio ile tukishafunga mbili tu basi wote wanarudi kulinda goli..
 
Ujio wa Lucas Torreira Kuja Arsenal FC ya Uingereza utamfanya Granith Xhaka kuwa central Attacking Midlf ambaye Atakuwa Kazi Maalum ya Kupiga Vertical Pass na Break Through Kwenda Kwenye Offensive Zone Huku Torreira akiwa Deep Defensive Midfielder Ambaye Kazi yake ni Kukaba 2.

Sokratis Papastaopolous
Konstantinos Mavropanos
Calum Chambers
Nacho Monreal
Saed Kolasnac
Stephane Leichsteiner
Héctor Belerin
Lauren Koscienly
Rob Holding

Kutengeneza Eneo la Ulinzi Huku
Héctor Belerin
Nacho Monreal
Konstantinos Mavropanos
Sokratis Papastaopolous
Saed Kolasnac
Stephane Leichsteiner

Wanne kati ya Hawa Wataingia Moja Kwa Moja Kwenye XI.

Kwenye Eneo la Golikipa ni Berno Leno

Kiungo Cha Kati

Lucas Torreira-Pure Defensive
Granith Xhaka-Holding Midfielder

Na watacheza Kwenye Role ya Pivot ama Double Defensive Midfielder.

Upande wa Kulia Henrikh Mikhitarian

Katikati Mbele ya DM ni Aaron Ramsey

Kushoto Kwenye Left Attacking Atakuwa Mesut Mustafa Ozil

Mbele Anasimama

Pierre Emerick AUBAMEYANG
ASANTE MWALIMU Kashasha
 
alafu wangepunguza mizigo kama kina welbeck na iwobi ni mara mia wawarudishe perez na yule jamaa wa costarica ana kasi sana yule
 
Back
Top Bottom