Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Congrat's super OG,goli bora la mwaka na asante FIFA kwa kutambua ukweli maana wale wehu walituaminisha wehu wao ingawa tulikataa.

40afe08170918a905738d5be421fc41b.jpg


Nadhani Unawaongelea Wale Manure Waliompa Promo Mkhitaryan kwa Scorpian Kick Ya Kubahatisha bila Ya Kujua Kuwa Msimu huu Watatamani Aumie au Auzwe ili Wasimuone Kwenye Pitch Mana Jamaa Kafulia Huwezi Amini! EPL ndiyo balaa Yake hii...
 
Eddie Nketiah kijana wa miaka 18 anatubeba begani kwenye Micky Mouse Cup
FT
Arsenal 2-1 Norwinch
Good thing ni kua JW10 amecheza dakika 120 leo anaendelea kupata game fitness akiendelea ivi naona atatusaidia sana na possibly ataenda Russia.
 
Eddie Nketiah kijana wa miaka 18 anatubeba begani kwenye Micky Mouse Cup
FT
Arsenal 2-1 Norwinch
Good thing ni kua JW10 amecheza dakika 120 leo anaendelea kupata game fitness akiendelea ivi naona atatusaidia sana na possibly ataenda Russia.
Ngoja nianze kumfuatilia huyu SerengetiBoy
 
Leo kulikuwa na mkutano wa mwaka wa wakurugenzi na watendaji wa arsenal London (annual general meeting)

Agenda mbalimbali zilijadiliwa ikiwamo kanuni, na pesa za uendeshaji wa klabu, uchaguzi wa mwenyekiti wa bodi ya watendaji na mustakabali wa klabu.
Sir Chips keswick amechaguliwa tena kuwa mwenyekiti wa kamati ya utendaji.
Bodi pia iliulizia utendaji wa klabu upande wa uwanjani na wenger aliwakilisha makocha na madaktari wa wachezaji kujibu maswali
Kroenke kwa mara nyingine tena alisisitiza kuwa hayuko tayari kuiuza arsenal kwa yeyote.
Sir chips alikataa kusalimiana na na baadhi ya watu kwenye kikao baada ya kikao kuisha. Ni arsene pekee alibakia kusalimia mashabiki wakereketwa waliokuwa nje ya tukio.
Bodi ya wamiliki wa shares wengi walipinga sir chips kuendelea ndio maana hakuwasalimia
Pia wamiliki wengi walimpinga mtoto wa kroenke, josh
Gazidis aliwakilisha watendaji upande wa klabu na mahusiano ya nje. Na alisisitiza kuwa objectives za arsenal ni kushinda epl kwanza.
7c5f0389f7fc4a626d9f41442d5bca34.jpg
 
Back
Top Bottom