Arsenal (The Gunners) | Special Thread

FT
Everton 2-5 Arsenal
3Pts muhimu sana,good thing Lacazette,Ozil na Sanchez wote wamefunga ila kitu kizuri zaidi JW10 katumia vizuri dakika alizopewa ame-assist ni burudani kuona tumeshinda.
We're famous Arsenal...
Ila timu haina consistency kabisa usishangae mechi ijayo tukafungwa hizo hizo 5!! We need changes kwakweli
 
MOTM...Ozil
9cb275137c32fbf99d177fcf90da0b2c.jpg

95799dff0ee2f600eb680987a335a75e.jpg
 
Congrat's super OG,goli bora la mwaka na asante FIFA kwa kutambua ukweli maana wale wehu walituaminisha wehu wao ingawa tulikataa.
40afe08170918a905738d5be421fc41b.jpg
 
Back
Top Bottom