Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mkuu unamdharau Chelsea? Ule moto ni mkali sana. Nadhani uliona hata baada ya zile kadi mbili nyekundu goli zikaanza kurudi. Watu wako 9 uwanjani na wanapiga mpira mkubwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha mbwembwe wewe, kwani mlianza mkiwa na wachezaji 9? kabla ya kupewa kadi nyekundu mlikuwa mnaongoza kwa goli ngapi?
Kubali tu kuwa mwaka kuna uwezekano mkubwa wa kumtimua Conte.
 
9892fd2f4cede6c5d24234facfc4cf5a.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom