jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 8,821
- 7,591
Kocha mzuri ila hii comment yake tu "...Wenger said in August that he believed "the only way to be a manager is to spend the club's money as if it were your own". Hapo ndipo palianza matatizo, haswa kwa wale wapenzi haswa, wanunua seasons ticket na merchandise..wakawa wanajiuliza huyu anatumia hela kama zake kivipi?! Na wana point kwa kweli..Kwangu itakua habari njema kama AW atakubali ku-extend mkataba wake i still trust the old man.