Arsenal (The Gunners) | Special Thread

3540.jpg
 
Na mimi naomba ku-declare interest, mimi ni Man Utd dam, nawaombea mshinde ili atleast mpate cha kujipoozea machungu yote. Mkuu unafikiri mkifungwa hapa ndio Wenger ataondoka? Arsenal haiendeshwi kama Chelsea kuwa mtu flani ndio anayeamua kwasababu tu matokeo mabaya. Wenger ataondoka siku akitaka kuondoka.
Yaani nawalaumu waliomruhusu kuwa na hisa kwenye timu!!!
 
Ila bado man u ana ndoo 3 msimu huu..

Ukiona umemaliza msimu bila EPL hakika hata uchukue makombe mengine yote except UCL hakuna anaekuchukulia serious,mimi ni shabiki wa Arsenal ila msimu huu Chelsea katia heshima pale England sisi wengine acha tujifariji na ivi vya kuungaunga,narudia tena England bingwa na kidume ni yule ananyanyua kwapa kwenye EPL.
 
Umesema kweli mtani hii pesa pauni milioni 150 sio mchezo huipati kwenye kombe lingine hata Uefa huipati
 
Ukiona umemaliza msimu bila EPL hakika hata uchukue makombe mengine yote except UCL hakuna anaekuchukulia serious,mimi ni shabiki wa Arsenal ila msimu huu Chelsea katia heshima pale England sisi wengine acha tujifariji na ivi vya kuungaunga,narudia tena England bingwa na kidume ni yule ananyanyua kwapa kwenye EPL.
Mwisho wa siku yote yanahesabika kama major trophies isipokua CS
 
Ndani ya miaka 4 uyu AW kabeba FA mara 3 tena mara mbili ilikua back to back niambie nani anampa heshima watu wanendelea kuhesabu misimu lundo ambayo amekosa EPL kwa nini wasikaushe kwa kua wamebeba hili FA tuweke ushabiki kando ukinyanyua EPL hakika unakua hauna deni kwa wanaokutazama,LVG alibeba FA ila wahuni wakamuambia tupishe tuna jambo la msingi zaidi ya FA.
 
Hongereni watani jana na leo na siku zifuatazo ni za furaha kwenu mjimwae mwae na yoyote atakae kuja na maneno ya kejeli na dhihaka wapuuzeni ili msiharibu furaha yenu.
 
Back
Top Bottom