Arsenal sign Man Utd's Silvestre

Kweli

JF-Expert Member
Jul 14, 2007
1,154
301
Arsenal have signed Manchester United's France international defender Mikael Silvestre for an undisclosed fee.

The 31-year-old joined United in September 1999 and had one year left on his contract at Old Trafford, but has now signed a two-year deal at Arsenal.

He made 249 Premier League appearances in nearly nine years with United.

Silvestre, also linked with Manchester City and Bordeaux, missed most of last season with a knee ligament injury, but returned to action in April.
 
...nilikuwa najiuliza why silvestre wakati yupo clichy na armand traore, kumbe traore ata spend whole season portsmouth.

sera za arsene wenger, kaazi kweli kweli.
 
...nilikuwa najiuliza why silvestre wakati yupo clichy na armand traore, kumbe traore ata spend whole season portsmouth.

sera za arsene wenger, kaazi kweli kweli.

Na ukizingatia umri wa Silverste kulinganisha na huyu dogo Traore? nashangaa kwa nini Wenger kawatoa Traore na Hoyte ambao ni vijana kenda kumchukua Mzee? tena majeruhi? Wenger anatuchanganya kweli.
 
Na ukizingatia umri wa Silverste kulinganisha na huyu dogo Traore? nashangaa kwa nini Wenger kawatoa Traore na Hoyte ambao ni vijana kenda kumchukua Mzee? tena majeruhi? Wenger anatuchanganya kweli.

...le professeur huwa ana sababu yake kuu moja ambayo ishaanza kunikera these days,... anadai "this team is a young team!", toka 2005 wimbo ndio huo huo... inclusion ya Gallas toka Chelsea, na Silvestre toka Man U, wakati huo huo kuwaondoa Pires na Gilberto bado sijaona busara zake.

This season kama Arsenal tukibahatika kumaliza kwenye top four, hata kuku nitachinjisha.
 
heheh kuna channel walikua wanatok abt hilo la hii transfer..kumbe ni toka mwaka 74 sijui arsenal haijawahi nunua a player from man utd!!
poleni wana kushika bunduki...na hii season inavyoonekana itakua ngumu sijuiiiiii
 
Wenger ana ufaransaisim sana.......hiki kibabu kakileta kifanye nini arsenal?
 
Wenger ana ufaransaisim sana.......hiki kibabu kakileta kifanye nini arsenal?

...huenda kakileta kwa matibabu, maana Silvestre alikuwa (majeruhi) sidelined karibia whole season ya 2007-2008, angalia orodha ya majeruhi walio "wodini emarati!"

Injury News;

Thursday, August 21, 2008
Cesc Fabregas has a hamstring problem, he could be back for the second FC Twente game.

Philippe Senderos
Thursday, August 21, 2008
Senderos has a scan on his hamstring and will not feature against Fulham.

Abou Diaby
Thursday, August 21, 2008
Abou has a thigh injury and is likely to be sidelined for another couple of weeks.

Tomas Rosicky
Thursday, August 21, 2008
Wenger believes the player should have recovered from his hamstring injury by September.

Eduardo
Thursday, August 21, 2008
The striker is continuing his recovery from a fractured leg and could be back in November.
 
Huyu jamaa atakuwa akicheza tu pale ambapo one of our back four hawapo available, sidhani kama atakuwa kwenye first team. At 31, I believe he is well past his 'sell by date' na kama angekuwa sio mfaransa sidhani kama Wenger angem sign. I never thought we were that desperate at the back, kila mtu alitegemea angesign midfielder mzoefu. My fellow gunners- huu ni msimu mwingine wa maumivu.
 
hizi ndio anga zako cha-mdoli wewe, yaani mambo ya mashabiki!! ikija mambo ya kufikiria huyawezi....upo mediocre sana a philistine.

Hongera, kumbe kimombo unaokotaokota eenh? vijineno hivyo kakufundisha nani? Huwezi kuniambia wapi nichangie au wapi nisichangie maoni yangu kwa kuwa huna uwezo huo, hili ni jaribio la wazi la kutaka kubaka uhuru wangu wa kutoa maoni hapa lakini ujue umeshindwa, nitaendelea kusema kile ninachotaka kusema hukohuko unakoandika utumbo wako. Kwenye forums za politics ndio kuna kuna mijinga mingi sana hapa JF kuliko kuliko kwingine kokote. Kwa kuwa huutumii ubongo wako nakushauri siku ukifa uu donate kwa mtu kwa kuwa utakuwa brand new.
 
Tumewauzia galasa kweli huyo Wenger anapenda Wafaransa najua tukicheza na nyie(GUNNERS) ,Silvestre atajifunga au atatoa penati
 
Pamoja na kutokuwa mshabiki wa arsenal na heshima niliyonayo kwa wenger,lakini sera zake uwa sikubaliani nazo.Sijui,lets see.
 
Huyu jamaa atakuwa akicheza tu pale ambapo one of our back four hawapo available, sidhani kama atakuwa kwenye first team. At 31, I believe he is well past his 'sell by date' na kama angekuwa sio mfaransa sidhani kama Wenger angem sign. I never thought we were that desperate at the back, kila mtu alitegemea angesign midfielder mzoefu. My fellow gunners- huu ni msimu mwingine wa maumivu.

Bado Wenger anasema atasaini mchezaji wa kiungo kabla ya transfer window kwisha, uwezekano mkubwa Alonso toka Liverpool, ila huyu Silvestre amesema moja ya sababu ya yeye kuja Arsenal ni kaahidiwa first team football!!! nadhani msimu huu Toure atacheza kama Defensive Midfield na huyu Silvestre atacheza na Gallas katika Central Defence , vilevile atakuwa back up kwa Clichy, kinachonisikitisha ni kwamba huyu amezeeka na Gallas nae mzee? Faraja pekee ni wana uzoefu mkubwa kati yao.
 
Wenger anabore na wafaransa wake kwa kweli. Akiwa na mchezaji mwingereza hakawii kumuuza. Sasa Hoyte alikuwa anakuja vizuri naona kaamua kumuuza na kupunguza idadi ya waingereza kwenye klabu. Silvester hawezi kumnyang'anya namba Clichy lakini naamini mwaka huu tuna shida katikati kwani tmeondokewa na viuongo watatu na tumeleta mmoja tu!
 
Na mwakani Ganaz waandae kitita cha kumnunua Saha, L.....
Shida ya Wenga si Wafaransa tu!?
 
nadhani msimu huu Toure atacheza kama Defensive Midfield na huyu Silvestre atacheza na Gallas katika Central Defence , vilevile atakuwa back up kwa Clichy, kinachonisikitisha ni kwamba huyu amezeeka na Gallas nae mzee? Faraja pekee ni wana uzoefu mkubwa kati yao.

Yeah Toure anaweza kumudu kiungo but hapo nyuma wote uchochoro
 
jazba tupu! Hakuna alokwambia usichangie mahali popote, mwenyewe umejiingiza kwenye anga kwa ushabiki wako wa kijinga...wengine hapa sio ma-soldiers kama wewe, kazi kushabikia tu bila kutumia akili zako! Naona ume-panic, unaandika kwa hasira, nipige basi bwahahahahaha!!

Usiende huko kabisa kwenye masuala ya umombo na akili zangu, kwa kifupi wewe ndio umeanza na mie namalizia...nakushauri ukue na kuanza kufiria wewe mwenyewe binafsi mr. Poltroon. Watu kama nyie wakimbiza mdundiko ndio mnawapa eazy ride mafisadi...upo naive mpaka basi yaani. Shame.

Endelea kushabia tuone mwisho wake...lol

mhhh...taratibu jamani
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom