arsenal not yet to be a champion.

Chief Kingalu

New Member
Nov 19, 2010
1
0
Timu ya soka ya arsenal nchini england imezidi kutia aibu kwenye uwanja wake wa nyumban emirates baada ya kukubali kipigo cha goli 3-2, the gunners wametia aibu mbele ya chogo (henry) ambaye alikuwa anashuhudia majita wake wakiutafuta mpira kwa ulimbo, arsenal imeshafungwa na w brom, newcastle utd na spurs kwenye uwanja huo, kwa staili hii arsena wenger au mr bean anahitaji huduma ya kwanza
 
Arsenal bado sana bado wako chekechea na mzee Wenger anapaswa kupisha wengine wamsaidie
 
wamepigwa 2-0 halafu ukiwauliza watakwambia ile timu ya baadae inasukwa...puuumbav
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom