Arsenal kuwa wa kwanza kuongoza ligi ya EPL kesho msimu huu

nimeangalia lineup ya arsenal leo vs brentford

Sijawaona lacazette wala aubemayang wala xchaka wala wiliam!

Arteta nako sijui kakoje tu!

David luis katemwa, kolasinac benchi,

Wenger alituachia wachezaji angalau wenye spirit ya kupambana.

Lakini hawa akina pepe,
sidhani.
 
Kosa la kwanza la kiufundi la shabiki,huu Uzi ulikosea jukwaa,kosa la pili la wachezaji wa arsenal,walidhani wanacheza na madogo waliopanda daraja,wakasahau EPL hakuna dogo.
 
Mzuka wanajamvi!

Natoa pongezi ya mapema (in advance) kwa timu ya mpira ya ligi kuu ya Uingereza Arsenal FC the gunners kwa kuwa timu ya kwanza msimu huu mpya wa 2021/22 kwa kuongoza ligi.

Arsenal itafungua msimu kwa kucheza na vibonde Brantford FC waliopanda daraja kesho saa nne usiku.

Kwa uhakika Arsenal itashinda iyo mechi na kujinyakulia pointi tatu na kuwa timu ya kwanza kuongoza ligi msimu wa 2021/22.

Nawapa hongera na pongezi za dhati mashabiki wa Arsenal.

View attachment 1890239

 
Inaelekea dakika ya 75,Manchester utd 5 vs Leeds utd 1.
Matokeo yakibaki hivi,arsenal atapanda mpaka nafasi ya 19 Kwa muda.
 
Msimamo wa ligi Mpaka sasa
angali match live bure kabiisa
View attachment 1905765
FB_IMG_16297812711447657.jpg
 
Arsenal mechi ijayo akipigwa tano bila kama mwenzake wa karibu ambaye ni Norwich,atachukua nafasi aliyokuwa baada ya game yake ya kwanza kuisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom