Arsenal fans msimu huu wa 2017/2018 tutegemee yale yale ya miaka yote

Majighu2015

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,924
3,904
Hakuna mabadiliko yoyote yatatokea msimu huu. Wenger ni yuleyule,timu ni ileile ya kina Iwobi na Walcot ambao hawawezi kupambana na timu kubwa.

Angalia usajili wa man utd,man city, chelsea..Kikosi walichonacho Totenham,Liverpool wapo too far ukifananisha na kikosi chetu.

Arsenal itabadilika Wenger akiondoka,yule babu ni mbahili sana na hajali fans wake tunataka nn. Yeye anachojali ni kuwa na cheap kikosi ili apate faida asilimia 500 yani yeye hana mpango na kombe kabisaaaaa.

Nadhani ni muda muafaka kwa fans waliopo UK kugoma kuingia uwanjani na kushinikiza huyu kibabu Wenger aondoke atuachie timu yetu.

Bodi ya Arsenal nao hawana nia njema na mashabiki wa Arsenal. Wanamuachia babu anaharibu timu tu na wao wapo. Mm nawalaumu sana bodi ya Arsenal kuliko hata Wenger mwenyewe.

Yan kwa sasa sina hata mzuka wa kuwaangalia Arsenal caz najua hamna kitu kitabadilika msimu huu.

Wana Arsenal mnashauri nini kuhusu timu yetu??
 
Subiri itaeleweka kesho utakapo kuolewa na maji ya baridi na Liverpool

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii timu yaani full stress, ina mizigo kibao ila wenger anaing'ang'ania, mtu kama theo, chamberlain, welback, iwobi yote hii mizigo, yaani mpaka sometimes naona bora nijipe likizo ya kuishangilia Arsenal mpaka wenger atakapo ondoka.
 
Livapool 4 Arsenal 0 FULL TIME... Hahahaaa jamaa mmoja shabiki wa Man U, ameniambia NIPAMBANE NA HALI YANGU......Wacha NIMZABE KIBAO.... Nikamwambia sisi Mashabiki wa ZE Gunners huwa tunapambana na hali ya dizaini hiyo KILA MSIMU...

Duuh Saluti kwa MZEE Wenger.....!!

Mila na desturi ya huku kwetu, huwa tuna msemo kuwa......MZEE HANUNIWI...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom