Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,337
- 113,180
Wanabodi, leo ndio imefanyika Arobaini ya Simba wa Vita, Mzee wetu, Rashidi Mfaume Kawawa, ambapo Rais JK, ameongoza maelfu ya waliohudhuria iliyofanyikia nyumbani kwake Madale, nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.
Nilipokuwa nikitafakari, terehe hii ya leo ya Arobaini ya Mzee wetu huyu, kumbukumbu ikanirudia, hebu soma hapa..
"Rashid Mfaume Kawawa alizaliwa tarehe February 27, 1926 katika kijiji cha Matepwende, Wilaya ya Songea, Mkoani Ruvuma, Tanzania". What a coincidence!.
Kama hiyo haitoshi, katika pita pita kusalimiana na huyu na yule kwenye arobaini hii, nikakutana na mmoja wa mabinti Kawawa kwa jina la Zamaradi,
akasema tarehe ya leo, sio tuu ni siku ya kuzaliwa kwa baba yao, bali pia ndiyo siku aliyofariki mama yao!, yaani mmoja kati ya wake zake, alifariki siku ya birthday ya mumewe!.
Juu ya yote hayo, alifariki siku ya mkesha wa mwaka mpya, msiba siku ya mapumziko ya mwaka mpya, na Arobaini yake siku ya Maulid ya Mtume Mohammad (SAW).
What an amaizing coincidence!.
Kwa waumini wa nature, there is no such a thing as coincidence, kila kitu kinatokea for a reason, na every move is pre meditated move and precise calculated kama 'De ja vu'!.
RIP Simba wa Vita, Rashidi Mfaume Kawawa.