Arizona Times: Lissu, The man who betrayed Tanzania in promise of US, EU payment in return

Hii sio propaganda ni upumbavu, so alikubaliana na US na EU wampige lisasi 16 ndipo wamelipe hiyo hela? Mbona nyinyi hamkujitokeza kwenya majaribio ya chanjo ya Corona mhatarishe maisha yenu kwa vipande pesa!
 
Hakuna uchafu sujui gazeti liitwalo arizona times dunia hii, labda muwadanganye wazee wasiojua kutumia mitandao.
Arizona Times lilibadilisha jina 1970, hivyo kwa sasa haliko. Belgium Daily ni akufikirika-magazeti yao yana majina ya kwao. Hicho kingereza anajua mwenyewe aliye andika. Ni wazi mleta bandiko ana lake, bahati mbaya amenasika vizuri kwa kuleta vitu hewa.
 
Uzuri mumetuandikia kwa kiingereza na sisi site hiyo lugha tunajua Ni ya wabeberu
 
Back
Top Bottom