Arizona Times: Lissu, The man who betrayed Tanzania in promise of US, EU payment in return

Wewe Mwendoza ungejitahidi hata kidogo basi na kiingezeza chako ili tuweze kukuelewa unachotaka kusema. Uwongo wako ni mkubwa kiasi ambacho ni wachache mno watakaoukubali!
Poa utayapata kwa matendo. Lisu hoyee!
Hizo bullets 38 hazikutosha, kumnyima haki zake za matibabu na za ubunge haitoshi, bado mnamtungia uwongo wa ajabu kama huo! Shame on you!
 
Like always mtu hujifanya mjanja baadaye huonekana juha! Karudi na ujuha wake.
 
Back
Top Bottom