Kuna watu inawezekana hawatakiwi mbiguni wala duniani? yuko kwenye coma since 4/01/2006 todate!
"Ogopa maombi ya mwenye kudhulumiwa"
Inavyoonyesha huko mbiguni hana ardhi au sehemu ya kumuweka?
Alichekelea sana na kutoa statements za ajabu ajabu Arafat alivyofariki. Watu wa camp ya Arafat wakatoa statement ya kumuombea na yeye wakati wake ukifika afe kwa taabu.. naona inatokea.
Alifikiri hawezi kuyakuta haya, nakumbuka alimkatalia Arafat asiende kutibiwa nje? sasa yeye hafi wala haponi kudadeki!
Tumaini swali lako mie limenichekesha kwamba hawatakiwi mbiguni wala duniani hiyo hatari 4yrs mtu uko kwenyeKuna watu inawezekana hawatakiwi mbiguni wala duniani? yuko kwenye coma since 4/01/2006 todate!
"Ogopa maombi ya mwenye kudhulumiwa"
Kuna watu inawezekana hawatakiwi mbiguni wala duniani? yuko kwenye coma since 4/01/2006 todate!
"Ogopa maombi ya mwenye kudhulumiwa"
Tumaini swali lako mie limenichekesha kwamba hawatakiwi mbiguni wala duniani hiyo hatari 4yrs mtu uko kwenye
Inabidi iwekwe kwenye vitabu vya gueness
Ni bora kuyapata yote hayo uliyo yataja na hali ukijuwa kuwa ujauwa nafsi ya kiumbe chochote kisicho na hatia, kuliko kuyapata hayo uku ukiwa umedhurumu nafsi za watoto, wazee na wanawake wasio na hatia... kwa maana cha moto utakiona hapa hapa duniani na uko akhera mkong'oto unakusubiri.Judge not maana unapohukumu wenzio na style ya vifo vyao wewe hujui kama utakuwa kwenye coma au utakatika miguu na mikono au utapoteza mawasiliano na kiwiliwili chako kibakie kichwa tu ndio kinafanya kazi!
Kabla hujafa hujaumbwa!
Kuna watu inawezekana hawatakiwi mbiguni wala duniani? yuko kwenye coma since 4/01/2006 todate!
"Ogopa maombi ya mwenye kudhulumiwa"
Kuna watu wamekaa kwenye koma miaka nenda rudi na bado wakaamka na kuishi kama kawa.