Ariel Sharon yuko wapi?

Tumain

JF-Expert Member
Jun 28, 2009
3,154
70
Kuna watu inawezekana hawatakiwi mbiguni wala duniani? yuko kwenye coma since 4/01/2006 todate!

"Ogopa maombi ya mwenye kudhulumiwa"
 
Bado wanamtibu tu miaka yote hii tangu awe kwenye coma
 
Kuna watu inawezekana hawatakiwi mbiguni wala duniani? yuko kwenye coma since 4/01/2006 todate!

"Ogopa maombi ya mwenye kudhulumiwa"

Alichekelea sana na kutoa statements za ajabu ajabu Arafat alivyofariki. Watu wa camp ya Arafat wakatoa statement ya kumuombea na yeye wakati wake ukifika afe kwa taabu.. naona inatokea.
 
Uko obsessed na Jews kuliko hata ndugu zako!Who cares about Ariel Sharon?
May be Jihadist kama wewe Tumaini!Unataka kwenda kumuua kwa bomb lako,kwenye chupi yako kama Abdulmuttalab wa Nigeria?
 
Inavyoonyesha huko mbiguni hana ardhi au sehemu ya kumuweka?

Nimegoogle Mkuu na kukutana na hii article.

~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~*~


Four years on, Sharon still comatose and without a clear legacy
January 6, 2010
Ads by Google

Aston Bali Resort & Spa

5 Star Bali Beachfront ResortAffordable Luxury at Prime Location
www.AstonBali.com


The former leader is unlikely to recover from a stroke, writes Jason Koutsoukis in Tel Aviv.
Four years after a massive stroke that has rendered him unconscious, the former Israeli prime minister Ariel Sharon now breathes unassisted. He lies motionless in a two-bed private room at the 18-bed Sheba Medical Centre, a long-term care facility at the Tel Hashomer Hospital near Tel Aviv that specialises in the rehabilitation of comatose patients.

A team of nurses keeps moving his body to prevent pressure sores, and an extra nurse is on duty 24 hours a day to monitor him.
Mr Sharon, 81, is fed through a tube. Once famous for his sizeable girth, he has suffered extensive tissue deterioration and now weighs about 50 kilograms.

Every day at least one of his two sons, Omri and Gilad, visits him and at night he is fitted with an oxygen mask, more as a precaution than as a necessity. Caring for Mr Sharon costs taxpayers about $400,000 a year.

Sometimes his eyelids will open suddenly, and can stay open for hours at a time. It is one of the signs that keep those close to him hoping he may recover.
But according to doctors familiar with Mr Sharon's condition and his care, the former giant of Israeli military and political life has no chance of recovery.

''His brain is about the size of a grapefruit,'' says a hospital manager who has been continually involved with his care, and who declined to be named. ''The part of the brain that keeps his body functioning, his vital organs, is intact, but beyond that there is nothing, just fluid. Our instinct is to provide hope, and to say that because he is alive there is a chance he will wake up - but this is never going to happen.''

Even former close associates concede that the chances of a recovery are extremely low. ''He is still strong,'' says his former chief-of-staff Dov Weisglass. ''We hope, of course, that things will be different, but a recovery does not seem very possible. Nevertheless, we remain very focused on his care, as a former prime minister of the state of Israel.''

Mr Sharon, who became prime minister early in 2001, suffered a brain haemorrhage on January 4, 2006 and was admitted to Hadassah Hospital in Jerusalem.
After several rounds of surgery and recovery from pneumonia, he was transferred to the Sheba Medical Centre at the Tel Hashomer Hospital near Tel Aviv in May 2006, where he has remained.

Whatever the prospects of his making a recovery, one thing that is certain is that his family will not consent to removing the feeding tubes.
In the meantime, debate rages about Mr Sharon's long-term legacy. A forceful military leader whose career in the Israel Defence Forces was marked by controversy, he moved to politics in 1973 as a member of Menachem Begin's Likud party.

As defence minister during the 1982 Lebanon war, Mr Sharon was found to have borne some personal responsibility for the massacre of up to 2000 Palestinians by Lebanese Christian militias in the Sabra and Chatilla refugee camps.
A hero of the expansionary Israeli right wing, he is now regarded as a traitor by many on the right as the man who drove Israel's withdrawal of 9000 Jewish settlers from the Gaza Strip.

By taking on the settler movement in Gaza he paved the way for possible withdrawal of settlers from the much larger West Bank territory, an issue the present Prime Minister, Benjamin Netanyahu, is now having to grapple with.
''There is no question that the settler movement was on its knees under Sharon,'' says David Landau, a former editor-in-chief of the daily Haaretz and also of The Jerusalem Post, who is now writing a biography of Sharon to be published by Alfred A. Knopf next year.

''They were a demoralised force; they had essentially lost the battle of public wills,'' Landau told the Herald.
''But as time elapses, the more the settler movement has been able to recover, for a variety of complex reasons, and we stand again today as a nation at a cross roads, trying to make a decision with respect to appropriate territorial borders.

''I think what we are witnessing today, as the settler movement regroups and reasserts its power within Israeli society, is a political tragedy.
''This is tragedy that has so far been compounded by politicians who have so far suffered from a failure of nerves. Until this is resolved I think Sharon's legacy is to a degree undec
 
Alichekelea sana na kutoa statements za ajabu ajabu Arafat alivyofariki. Watu wa camp ya Arafat wakatoa statement ya kumuombea na yeye wakati wake ukifika afe kwa taabu.. naona inatokea.

Alifikiri hawezi kuyakuta haya, nakumbuka alimkatalia Arafat asiende kutibiwa nje? sasa yeye hafi wala haponi kudadeki!
 
Alifikiri hawezi kuyakuta haya, nakumbuka alimkatalia Arafat asiende kutibiwa nje? sasa yeye hafi wala haponi kudadeki!

Mkuu ndiyo maana kuna wengine wamewahi kutamka kwamba jehanam utaipata hapahapa duniani kutokana na matendo yako.
 
Kuna watu inawezekana hawatakiwi mbiguni wala duniani? yuko kwenye coma since 4/01/2006 todate!

"Ogopa maombi ya mwenye kudhulumiwa"
Tumaini swali lako mie limenichekesha kwamba hawatakiwi mbiguni wala duniani hiyo hatari 4yrs mtu uko kwenye
Inabidi iwekwe kwenye vitabu vya gueness
 
Kuna watu inawezekana hawatakiwi mbiguni wala duniani? yuko kwenye coma since 4/01/2006 todate!

"Ogopa maombi ya mwenye kudhulumiwa"
ariel-sharon-dalam-keadaan-koma.jpg

 
Tumaini swali lako mie limenichekesha kwamba hawatakiwi mbiguni wala duniani hiyo hatari 4yrs mtu uko kwenye
Inabidi iwekwe kwenye vitabu vya gueness

Saa zingine tuwaonea huruma watoto wanapouliwa kwa amri zetu kwasababu tu ni viongozi, ujue wana mama zao na baba zao? sharon alijitahidi sana kuwaua wapalestina.

Naona mbigu imejaa na duniani hatakiwi
 
Kuna watu wamekaa kwenye koma miaka nenda rudi na bado wakaamka na kuishi kama kawa.
 
Kuna watu wamekaa kwenye koma miaka nenda rudi na bado wakaamka na kuishi kama kawa.

Akijaaliwa kuamka atakuwa ameshafahamu what it means to be fair to sick people in palestine territory.
 
Judge not maana unapohukumu wenzio na style ya vifo vyao wewe hujui kama utakuwa kwenye coma au utakatika miguu na mikono au utapoteza mawasiliano na kiwiliwili chako kibakie kichwa tu ndio kinafanya kazi!
Kabla hujafa hujaumbwa!
 
Judge not maana unapohukumu wenzio na style ya vifo vyao wewe hujui kama utakuwa kwenye coma au utakatika miguu na mikono au utapoteza mawasiliano na kiwiliwili chako kibakie kichwa tu ndio kinafanya kazi!
Kabla hujafa hujaumbwa!
Ni bora kuyapata yote hayo uliyo yataja na hali ukijuwa kuwa ujauwa nafsi ya kiumbe chochote kisicho na hatia, kuliko kuyapata hayo uku ukiwa umedhurumu nafsi za watoto, wazee na wanawake wasio na hatia... kwa maana cha moto utakiona hapa hapa duniani na uko akhera mkong'oto unakusubiri.
 
Kuna watu inawezekana hawatakiwi mbiguni wala duniani? yuko kwenye coma since 4/01/2006 todate!

"Ogopa maombi ya mwenye kudhulumiwa"

Mkuu Tumaini. Swala la Ariel Sharon lina kuwa complicated na mambo ya kiimani na kisheria. Labda nianze kuongelea kisheria then kiimani.

Katika kila nchi au jamii kuna wanacho kiconsider kuwa legally dead. Kwa maana inafika stage ipi mtu unaweza kusema kisheria kafa. Kwa jamii kama za kwetu mtu moyo ukiacha kupiga ni amefariki. Kwa wenzetu wengine mpaka ubongo wote uache kuwa na activity ndiyo mtu awe considered dead. So ina wezekana kisheria kwa Israel huyu bwana hajafa.

Sasa ukisha toka kwenye swala la kisheria ndiyo inakuja complication ya kiimani. Kwa Waisrael kama ilivyo kwa wengi euthenism(mercy killing) n dhambi. Kwa hiyo since he is not "dead" wanaona kuondoa mashine ni dhambi.

Ila kiukweli kabisha mkuu huyu mtu kasha kufa. Kinacho muweka hai ni life support machine which wakiamua kuiondoa hata sasa hivi ana tangazwa marehemu. Huyu mtu alisha kufa tokea 2006 sema ndiyo hivyo familia haitaki kuondoa mashine. Wao hospitali as long as their bills are being paid wala hawana neno kuendelea kumuweka.

I hope kidogo maelezo yangu yame saidia kujibu swali lako.
 
Kuna watu wamekaa kwenye koma miaka nenda rudi na bado wakaamka na kuishi kama kawa.

Ndiyo kuna watu wana amka kutoka kwenye coma hata baada ya miaka ishirini but that is in some very rare cases. Hauwezi kuwa in that situation for that amount of time bila kua na brain damage. Lakini pia kuna factors mbili unabidi consider mkuu.

1.Umri.
Huyu bwana ana miaka 81 which is very old na past the life expectation of most developed countries. Sasa wa nini kumuweka mtu wa miaka 81 katika hali hiyo. Hata kama angekua kijana wa miaka 18 I don't see the point ya kumuweka mtu katika hali kama hiyo. Kumbuka kifo ni kwa kila mtu so hatuombi mtu asife bali tunaomba afe vizuri. Sasa je huko ni kufa vizuri?

2.Cost.
Kama ilivyo onyesha kwenye article ya mkuu BAK ambayo katu bandikia hapa, it costs that state $400,000 kwa mwaka kumhudumia huyu mtu. Je hiyo ni haki kweli kwa walipa kodi? Unatumia kiasi hicho cha pesa za wananchi kwa faida gani? Lazima mtu ucalculate cost & benefit. Jwa hali ya Sharon & hizo pesa it's a lose-lose situation kwa wananchi.
 
Jihadists propaganda.Najali watanzania wenzangu mahospitalini ambao hawana dawa,wanalala chini bila vitanda.Kuhusu Sharon ,who cares ,labda uwe mpenzi wa Hamas,Al Qaeda,Al Shabaab,Islamic Jihad etc
 
Back
Top Bottom