Ariel glaser alieanzisha vita vya maambukizo ya virusi vya ukimwi kwa mtoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ariel glaser alieanzisha vita vya maambukizo ya virusi vya ukimwi kwa mtoto

Discussion in 'JF Doctor' started by Haika, Aug 13, 2010.

 1. H

  Haika JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,318
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Ariel Glaser passed away 22 years ago 12 Aug, at the age of 7 years old.
  Ariel, Binti wa Elizabeth Glaser alizaliwa na virusi vya Ukimwi kipindi ambacho madawa yaliokuwapo yalikuwa kwa ajili ya watu wazima tu!!
  Mama yake alipoona hivyo alianzisha vita iliompeleka hadi ikulu na kuanzishwa tafiti za madawa ya watoto na ya kuzuia maambukizi ya mama kwa mtoto wakati wa ujauzito na kujifungua.
  Matokeo ya vita yao ni kuwa wamama wengi wenye VVU wanapata fursa ya kupata watoto bila ya woga wa kuwaambukiza!!

  Ni upendo wa pekee kwa mtoto kutoka kwa mama.
   
Loading...