Mpelijr
Member
- May 17, 2010
- 89
- 11
Nimekumbuka mwaka 2005 ccm walikuja na kauli mbiu nzuri sana pengine nzuri kuliko zote zilizowahi kutokea nchini mwetu,watu wakalainika kwa kauli mbiu tu bila hata sera...tukaichagua kwa kishindo kikubwa...ikawa ya pili afrika kwa ushindi wa kishindo ukiitoa zimbabwe na kura za mugabe...miaka 2 baadae tukaisahau kauli mbiu kwa sababu tulikuwa gizani na pia tulikosa hela ya kununulia gazeti hata mawazo yetu yalikuwa kwenye vyakula vinavyopanda bei kila siku...sasa tunajiuliza hivi hawa watengeneza kauli mbiu ni watanzania?na kama ni watanzania kwa nini wasiwe na ofisi yao ili tuwa identify mwisho wa muhula?