Ari mpya,nguvu mpya na kasi mpya...

Mpelijr

Member
May 17, 2010
89
11
Nimekumbuka mwaka 2005 ccm walikuja na kauli mbiu nzuri sana pengine nzuri kuliko zote zilizowahi kutokea nchini mwetu,watu wakalainika kwa kauli mbiu tu bila hata sera...tukaichagua kwa kishindo kikubwa...ikawa ya pili afrika kwa ushindi wa kishindo ukiitoa zimbabwe na kura za mugabe...miaka 2 baadae tukaisahau kauli mbiu kwa sababu tulikuwa gizani na pia tulikosa hela ya kununulia gazeti hata mawazo yetu yalikuwa kwenye vyakula vinavyopanda bei kila siku...sasa tunajiuliza hivi hawa watengeneza kauli mbiu ni watanzania?na kama ni watanzania kwa nini wasiwe na ofisi yao ili tuwa identify mwisho wa muhula?
 
Mafisadi na masultani cannot walk the talk never -labda kulia na kusingizia udini na propaganda za uongo uongo-katiba mpya tiba ya yote haya. Eti maisha bora kwa kila mtanzania!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Bul....................................sh...............................t tuungane wazalendo na bongo tz kuleta katiba mpya ya mwananchi katiba ya ukombozi
 
Nimekumbuka mwaka 2005 ccm walikuja na kauli mbiu nzuri sana pengine nzuri kuliko zote zilizowahi kutokea nchini mwetu,watu wakalainika kwa kauli mbiu tu bila hata sera...tukaichagua kwa kishindo kikubwa...ikawa ya pili afrika kwa ushindi wa kishindo ukiitoa zimbabwe na kura za mugabe...miaka 2 baadae tukaisahau kauli mbiu kwa sababu tulikuwa gizani na pia tulikosa hela ya kununulia gazeti hata mawazo yetu yalikuwa kwenye vyakula vinavyopanda bei kila siku...sasa tunajiuliza hivi hawa watengeneza kauli mbiu ni watanzania?na kama ni watanzania kwa nini wasiwe na ofisi yao ili tuwa identify mwisho wa muhula?

Watanzania wasahaulifu. Ndiyo maana this time hakuna aliyemuliza!!
 
where are the patriots of this country? we've got to wake up people!....kabla kizazi kijacho hakijaja kutuona sie mambwiga!
 
Watanzania wasahaulifu. Ndiyo maana this time hakuna aliyemuliza!!
Na sasa hivi mkuu hajaja na kauli mbiu za ice creasm kama hiyo ya mwaka 2005...naona hata waandaaji kauli mbiu nao wameona itakuja kuwageuka baadae kutokana na utendaji hafifu wa serikali yetu....
 
where are the patriots of this country? we've got to wake up people!....kabla kizazi kijacho hakijaja kutuona sie mambwiga!

patriots tupo ila uzalendo inabidi uanzie chini kabisa na uonekane juu kwa viongozi kama viongozi hawana uzalendo kwa nchi yao,wanauweka uzalendo wa watu wa chini pabaya kwa sababu kama tunavyoona resourses zetu zinavyotumika kwa maslahi yao,nani anaumia?ni wananchi wa chini na siyo wao!!
 
Watanzania wasahaulifu. Ndiyo maana this time hakuna aliyemuliza!!
Haswaa,ndugu yangu nakuunga mkono...watanzania tumezidi kusahau mambo muhimu...halafu hatujajingea tabia ya kuuliza maswali na hata kutafiti vitu...tunapenda kweliii press conference za viongozi wetu wakituambia kuwa hakuna tatizo na mambo yote yako sawa wakati nothing is going on!!we should think better next time and learn to be questioners!!!
 
Back
Top Bottom