Argentina wametangaza Kikosi chao cha wachezaji 23 wanaoenda Russia-Lcardi is OUT.

DesertStorm

JF-Expert Member
Nov 22, 2015
2,385
1,566
Argentina wametangaza Kikosi chao cha wachezaji 23 wanaoenda Russia-Lcardi is OUT.
20180522_143431.png

Mauro Lcardi ndani ya misimu 4 ya serie A - amefunga magoli 98 - msimu huu amefunga magoli 29 - Higuain amefunga 16, lakini Jorge Sampaoli kampiga chini Lcardi.
20180522_143408.png
 
Mauro icard ana bahat mbaya msimu Huu alkuwa kwenye Kiwango Bora kabisa nahisi Tatizo ni Hilo bifu lake na Messi
 
icardi??kwa kikosi hicho hawawezi chukua ndoo...nawapa nafasi Germany na Spain..
 
hivi mnaolalamika mnafahamu inter namna inavyocheza na magoli ya icardi yapoje? icardi haendani kabisa na timu yake ya taifa inavyocheza, icardi anafaa timu kama england au italy
 
Kuna ugomvi kati ya icard na baadhi ya players wa Argentina haswa lionel messi
 
hivi mnaolalamika mnafahamu inter namna inavyocheza na magoli ya icardi yapoje? icardi haendani kabisa na timu yake ya taifa inavyocheza, icardi anafaa timu kama england au italy
Haupo sawa mkuu. Mauro Icardi ana scandal ya kutoka na mke wa mchezaji mwingine kitu kilichofanya akawa beef na pros wengi wa Argentina hata captain Messi.

Icardi haachwi kisa hana uwezo bali kile kitendo ndio kinamtafuna mpaka leo.
 
hilo la mke wa rafiki ake nalifahamu linaweza kuwa limechangia pia cjasema kiwa hana uwezo nlichosema ni kiwa icardi haendani na timu kama aguero na higuain
 
Hakunaga kitu kama hicho. Mchezaji akiwa anajua tu hata kama aina za uchezaji zinatofautiana mwalimu ndio huwa anabuni mbinu ya kutengeneza chemistry (patnerships) kati ya wachezaji ili kuweza kuperform vizuri uwanjani.

Aguero, Higuain, Dybala wote wana aina tofauti za mchezo.. Inashindikana nini Icardi nae kuwemo kikosini?
 
ni kweli tumeona partnership mbalimbali zikifny vzuri bt unafikir inawezekana ndani ya muda huu wa wiki mbili kufanya hvyo na prtnershiop ikawa tayari kwa kombe la dunia?
 
hakuna kipindi kigumu wanapitiaga makocha kama kuchagua wale 23 wa mwisho! hua mpaka wanaandika vikaratasi wanaokota
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom