Argentina national football team new kit, na muonekano wake kama ulivyo 😍😍😍

BlackPanther

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
9,020
8,480
Wadau wenzangu
PNC
The Icebreaker
Joseverest
King_Ngwaba
makaveli10
kilambimkwidu
Chukwu emeka
BAK
Anigrain
The Boss
Saint Ivuga
dingimtoto
Kanungila Karim
Van De Beek
FORTALEZA
tony92
Chaliifrancisco
adriz
Prince Kunta
OKW BOBAN SUNZU
DENLSON
Waterloo
Isanga family n.k

Wakuu na wadau wenzangu wa soka nimekuja kuomba radhi kwa kile nilichowaletea on yesterday, na kuwaaminisha kuwa kipo wakati hakipo (Jezi mpya ya Argentina)....
mtaniwia radhi makamanda wangu, nimeteleza na wala sijafanya makusudi....no one is perfect except God.

New kit ya Argentina ni ile aloipost mdau wetu FORTALEZA ....hiyo ndio jezi yenyewe.

Nilicholeta mimi haipo, huenda ikawa ipo kwenye mipango yao, they know them.....Mungu akipenda ikitoka nitawajuza.

Niliipata humu...ebu open it na wewe 😀
20210406_141723.jpg
20210406_141655.jpg
20210406_141635.jpg
20210406_141556.jpg


Ahsante!
 
Ukitaka Kuoa tafuta Washauri wakutafutie MKE venginevyo utaingia chakike Vizuri huvijui Mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom