Area 255 V/s 254, jinsi Mkenya huyu alivyotathimini

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,589
20,893
A Kenyan journalist’s experience in Tanzania Last week, I took a trip from my work routine at Pulse Live Kenya to cool off in Tanzania.

A close friend has been working as an expatriate in Dar es Salaam for a couple of months and we decided to surprise him with a visit as we took time to recharge from our respective work stations.

It was meant to be a week of what we call boys being boys, exporting our Nairobi
“misbehavior” to a foreign city.

The trip turned up just fine but it also offered many points of reflection, some of
which I wish to share with Kenyans.

Growing up in Kenya, I would occasionally hear of the low opinion Kenyans had towards their southern neighbor.

Public infrastructure “A Tanzanian coming to Nairobi is more excited than a Kenyan visiting London,” I would hear.

It was therefore a surprise that Tanzania has much better quality of roads than Kenya.

The Nairobi Namanga highway is perhaps one of the bestvroads in Kenya but it does not match the quality that has been put up on the Tanzania side (Namanga to Arusha).

The two roads are just as smooth but unlike Kenya, the Tanzanian side is well marked with appropriate headlight illuminated markings.

A file photo of Kigamboni Bridge one of the major infrastructure development projects in Dar es Salaam Beyond Arusha, we moved further south to Moshi, to Lushoto, and eventually to Dar es Salaam – with the same experience of smooth, well- marked roads with very bumps.

While moving from Dar, we decided to use a different route via Bagamoyo and Tanga, and entered Kenya via the Lunga Lunga.

In all the nearly 1500 kilometres of highways in Tanzania, we had not witnessed a single pothole and not even a minor road accident.

The return to Kenya was a painful reminder of the numerous potholes that dot our roads but also something we had not yet put a finger on.

Roads in Kenya are very rough and rugged even when they are fully tarmacked – mainly because corrupt officials allow overloaded trucks to the detriment of the roads and safety of road users.

The highlight, for me, was the Bus Rapid Transit (BRT) system in Dar es Salaam,
popularly known as Mwendo wa Kasi.

Unlike the shoddy planning of BRT in Kenya, the Tanzanian one has picked up well and has well-designed and dedicated lane which other motorists cannot join - complete with several termini that connects the suburbs to the CBD.

The BRT project in Dar es Salaam makes a joke of the red line that was introduced
here in Kenya The BRT project in Dar es
Salaam makes a joke of the red line that was introduced here in Kenya Social Values Beyond the infrastructure,
perhaps the greatest lesson was on the Tanzanian shared national culture.

While heading out of Bagamoyo towards Tanga, our bus stopped for passengers to
buy provisions but left before a hawker could refund Tsh6000 (about Ksh300)
change.

As we relayed our sorries to the affected passengers, we noticed the hawker atop a boda boda, signaling for our attention.

The boda boda overtook us and proceeded to wait for ourb bus at the next weigh bridge (yes even buses are subjected to a weight check!).

He returned the change minus the boda boda fare – much to the shock of my friend and I who were sure the man had
closed his kiosk early!

Of course, it was a non-event to the Tanzanians who have inculcated a culture of high integrity in all the spheres of their life.

In the streets, we observed all motorists were stopping at a zebra-crossing even when there was no pedestrian crossing, and stopping at every red light even when the road was clear. Unlike in Kenya where the sight of an emaciated drunkard has become normal, there was none in Tanzania.

This is perhaps because most Tanzanians are able to afford quality beer – a bottle goes for as low as Sh70 compared to Kenya where government taxation have pushed beer prices to between Sh160 and
Sh300.

There is also Konyagi - the Tanzanian national drink that is manufactured through hygienic production of what is
referred to as chang’aa in Kenya.

Quality of life In terms of private-sector infrastructure, Kenya is far ahead of Tanzania.

There are little or no maisonettes in their city estates, their malls are a far cry from what we have here in Kenya – the Garden Citys and Two Rivers of this world.

However, I realized that there is a very small gap between the rich and the poor. If you ask me, there is little that a man in Kibera benefits from the Hub Mall in Karen – or in the big mansions that surround his ramshackle.

There are poor people in Tanzania but their relative quality in life is much betterthan their Kenyan counterparts.

Most f the rural folk have access to electricity and although there are slums in
Dar es Salaam – they are significantly less populated than what we have here in
Nairobi.

Tanzania has invested in its people’s healthcare and I observed several public hospitals in my safari – most admirable being the Ocean Road Cancer Institute – next to State House Dar es Salaam. I was pleasantly surprised to learn that Cancer patients in Tanzania have a right to be treated for free, once they are diagnosed.

I hope Kenya will rise up to the challenge and take up its leadership role in the region, not just in enabling the private
sector, but also uplifting citizen welfare by investing in the soft elements of public
well-being.
 
Nimesema mara nyingi Mkenya yeyote anayeingia Tanzania na kugeuza ndani ya siku chache lazima atoke na misifa maana usipokua makini Watanzania ni wajuzi na wasanii sana kwenye kuficha mapungufu yao, lazima uishi nao kwa muda ndio uanze kuona yote nyuma ya pazia.
Hii ripoti ya huyu jamaa hata sijaisoma yote maana imesheheni makosa mengi sana kwa wale tunaijua Bongo hatuwezi kuisoma yote. Kicheko sana kusema ati Watanzania wote huheshimu alama za barabara, kwamba hamna barabara zenye mashimo Tanzania, Watanzania wote ni wakarimu, Watanzania wote ni waaminifu, hata hiyo BRT huonekana nzuri sana ukiwa nje unapiga mapicha, lakini thubutu kutumia usafiri wake ndio ukome......Yaani hamna haja ya kusoma yote maana amenikumbusha nilivyokua natiririka misifa ya Tanzania wiki ya kwanza kuishi huko.
 
Good observations but am sure you didn't have much time to visit places that you admire the likes of Nairobi's Karen in Dar es Salaam Tanzania. Maybe a glimpse on video below will tell you that :
One of Dar es Salaam's leafy areas :

Source: wode maya
 
Nimesema mara nyingi Mkenya yeyote anayeingia Tanzania na kugeuza ndani ya siku chache lazima atoke na misifa maana usipokua makini Watanzania ni wajuzi na wasanii sana kwenye kuficha mapungufu yao, lazima uishi nao kwa muda ndio uanze kuona yote nyuma ya pazia.
Hii ripoti ya huyu jamaa hata sijaisoma yote maana imesheheni makosa mengi sana kwa wale tunaijua Bongo hatuwezi kuisoma yote. Kicheko sana kusema ati Watanzania wote huheshimu alama za barabara, kwamba hamna barabara zenye mashimo Tanzania, Watanzania wote ni wakarimu, Watanzania wote ni waaminifu, hata hiyo BRT huonekana nzuri sana ukiwa nje unapiga mapicha, lakini thubutu kutumia usafiri wake ndio ukome......Yaani hamna haja ya kusoma yote maana amenikumbusha nilivyokua natiririka misifa ya Tanzania wiki ya kwanza kuishi huko.
Nilitegemea utasema hivyo
 
Mtu yeyote anayelinfanisha Kenya na Tanzania katika maendeleo ya Huduma za kijamii kama barabara, Umeme vijijini, Huduma za afya bora, maji na makazi(Housing), umasikini na Upendo na ubinadamu wa wananchi wa hizi nchi mbili, ni kama kulinganisha mbingu na ardhi. Tanzania imeizidi sana Kenya. Maeneo ambayo Kenya imeizidi Tanzania ni Yale maeneo ya matajiri, kama Supermarkets, big malls na real estates pekee, huyu jamaa aliyeandika hii makala amezungumza ukweli mtu bila "bias" yoyote ile.
cc. Tony 254
Koroma
Mwaswat
Jonerose
Na wakenya wengine.........
 
:D:D:DHahaa MK254 si lazima upinge kila kitu kinachosifiaTz :oops::oops::oops: wakati mwingine uchune tu maisha yasonge... :D :D :D

Hehehe! Wala sijapinga ni kweli kuna mazuri Tanzania, ila ukikaa huko siku mbili na kugeuza utaimba sifa za Tanzania maana mlivyo wajanja wa kuficha.

Alichoandika huyu jamaa kikitafsiriwa kwa Kiswahili Watanzania wengi wataishia kuchekelea pembeni.
Nahisi atakua anatafuta kandarasi kama aliyopata yule dada yetu Mumbi kwenye Youtube, maana kwenu huko ukiimba mapambio ya misifa unakua na uhakika wa kuteuliwa, hata wana habari humu JF siku hizi ni full mapambio.
 
Nimesema mara nyingi Mkenya yeyote anayeingia Tanzania na kugeuza ndani ya siku chache lazima atoke na misifa maana usipokua makini Watanzania ni wajuzi na wasanii sana kwenye kuficha mapungufu yao, lazima uishi nao kwa muda ndio uanze kuona yote nyuma ya pazia.
Hii ripoti ya huyu jamaa hata sijaisoma yote maana imesheheni makosa mengi sana kwa wale tunaijua Bongo hatuwezi kuisoma yote. Kicheko sana kusema ati Watanzania wote huheshimu alama za barabara, kwamba hamna barabara zenye mashimo Tanzania, Watanzania wote ni wakarimu, Watanzania wote ni waaminifu, hata hiyo BRT huonekana nzuri sana ukiwa nje unapiga mapicha, lakini thubutu kutumia usafiri wake ndio ukome......Yaani hamna haja ya kusoma yote maana amenikumbusha nilivyokua natiririka misifa ya Tanzania wiki ya kwanza kuishi huko.
Msumari umekuchoma wapi ndugu!?
 
Nimesema mara nyingi Mkenya yeyote anayeingia Tanzania na kugeuza ndani ya siku chache lazima atoke na misifa maana usipokua makini Watanzania ni wajuzi na wasanii sana kwenye kuficha mapungufu yao, lazima uishi nao kwa muda ndio uanze kuona yote nyuma ya pazia.
Hii ripoti ya huyu jamaa hata sijaisoma yote maana imesheheni makosa mengi sana kwa wale tunaijua Bongo hatuwezi kuisoma yote. Kicheko sana kusema ati Watanzania wote huheshimu alama za barabara, kwamba hamna barabara zenye mashimo Tanzania, Watanzania wote ni wakarimu, OnWatanzania wote ni waaminifu, hata hiyo BRT huonekana nzuri sana ukiwa nje unapiga mapicha, lakini thubutu kutumia usafiri wake ndio ukome......Yaani hamna haja ya kusoma yote maana amenikumbusha nilivyokua natiririka misifa ya Tanzania wiki ya kwanza kuishi huko.
In any positivity,negativity suround the area.
 
Hata hatukushangai maana ulishawahi kuandika humu hutokaa usifie au kuandika mazuri ya Tanzania.
Nimesema mara nyingi Mkenya yeyote anayeingia Tanzania na kugeuza ndani ya siku chache lazima atoke na misifa maana usipokua makini Watanzania ni wajuzi na wasanii sana kwenye kuficha mapungufu yao, lazima uishi nao kwa muda ndio uanze kuona yote nyuma ya pazia.
Hii ripoti ya huyu jamaa hata sijaisoma yote maana imesheheni makosa mengi sana kwa wale tunaijua Bongo hatuwezi kuisoma yote. Kicheko sana kusema ati Watanzania wote huheshimu alama za barabara, kwamba hamna barabara zenye mashimo Tanzania, Watanzania wote ni wakarimu, Watanzania wote ni waaminifu, hata hiyo BRT huonekana nzuri sana ukiwa nje unapiga mapicha, lakini thubutu kutumia usafiri wake ndio ukome......Yaani hamna haja ya kusoma yote maana amenikumbusha nilivyokua natiririka misifa ya Tanzania wiki ya kwanza kuishi huko.
 
Hehehe! Wala sijapinga ni kweli kuna mazuri Tanzania, ila ukikaa huko siku mbili na kugeuza utaimba sifa za Tanzania maana mlivyo wajanja wa kuficha.

Alichoandika huyu jamaa kikitafsiriwa kwa Kiswahili Watanzania wengi wataishia kuchekelea pembeni.
Nahisi atakua anatafuta kandarasi kama aliyopata yule dada yetu Mumbi kwenye Youtube, maana kwenu huko ukiimba mapambio ya misifa unakua na uhakika wa kuteuliwa, hata wana habari humu JF siku hizi ni full mapambio.
Unabishana na ukweli. Duh!! Wewe noma sana.
Hebu bisha na hiki
 
Inapendeza...

Haya yote yalifanyika kwa juhudi za serikali ya awamu ya nne... Jakaya Mrisho Kikwete apewe sifa na pongezi zake...

Ila huyu Mkenya ana hatari sana.... mbona sasa yaliyofanyika kwenye awamu ya tano hajayataja hata moja...

Cc: mahondaw
 
Nimesema mara nyingi Mkenya yeyote anayeingia Tanzania na kugeuza ndani ya siku chache lazima atoke na misifa maana usipokua makini Watanzania ni wajuzi na wasanii sana kwenye kuficha mapungufu yao, lazima uishi nao kwa muda ndio uanze kuona yote nyuma ya pazia.
Hii ripoti ya huyu jamaa hata sijaisoma yote maana imesheheni makosa mengi sana kwa wale tunaijua Bongo hatuwezi kuisoma yote. Kicheko sana kusema ati Watanzania wote huheshimu alama za barabara, kwamba hamna barabara zenye mashimo Tanzania, Watanzania wote ni wakarimu, Watanzania wote ni waaminifu, hata hiyo BRT huonekana nzuri sana ukiwa nje unapiga mapicha, lakini thubutu kutumia usafiri wake ndio ukome......Yaani hamna haja ya kusoma yote maana amenikumbusha nilivyokua natiririka misifa ya Tanzania wiki ya kwanza kuishi huko.
wee kikuyu,
sikiliza nikwambie, hata ukiishi palm beach miami USA ndani ya mda wa miezi mitatu au zaidi, lazima utaanza kuona vitu negative ambavyo havitakupendeza. so nadharia yako ina apply kote kote.
 
In any positivity,negativity suround the area.

Ni kweli kila penye mazuri na mabaya yapo pia, ila hata kama unasifia jaribu kuipamba bila kuongeza viungo vingi maana utaharibu mchuzi. Kwa kifupi ukienda sehemu ni vizuri kuandika mazuri uliyoyakuta, lakini usiongopee maana hata wenyeji watajihisi kama watoto wadogo wanaodanganywa kwa pipi.
Kwa Mtanzania ambaye ako objective na anaishi Dar ile moja ninayoifahamu, asome alichoandika huyu jamaa neno kwa neno na kutafakari kama kweli hapo hamkupakwa kwa mgongo wa chupa.
 
Yaani akili zako na za Museveni, ukijumlisha una itikadi za chadema basi balaa tupu
 
Back
Top Bottom