babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,111
- 27,143
Wananchi wetu wanapata huduma nzuri kila nyanja kuliko ninyi mnaojitapa mko na uchumi mzuri.
Shosho mzima uko busy google ukiokota habari kweli ninyi ni wapumbavu by nature
Shosho mzima uko busy google ukiokota habari kweli ninyi ni wapumbavu by nature
Ukapenya wapi? Yaani maoni ya mkenya mmoja yamefanya mrukeruke kama mtoto ambaye amenunuliwa lollipop tatu. Mnatia huruma sana. Maoni ya wengi mnayakataa.
Hebu niambie/nieleze, kwa nini mpo LDC?