ARE YOU TRUE TO YOURSELF...? Upo na Mpenzi wako kwasababu ipi?

Mimi nilimuuliza...na yeye in retrospect she did admit that it was stupid.

But looks-wise the dude had nothing on me....

duh
aise hata mimi kuna mtu nikijiulizaga why nilikuwa that crazy about her
nashindwa kupata jibu
yuko average looks,tabia sio safi kihivyo
but dah acha tu
 
Kabisa uzee ni dawa ana mantiki kubwa kwenye madai yake sema tu wengine tumeingiwa ukichaa wa mapenzi tunaenda blindly lakini they say hatua ya kwa ni kujitambua.......

Jamaa mmoja alidai eti mapenzi ni upofu!Mi nadhani watu ndo wana upofu bhana!!
 
duh
aise hata mimi kuna mtu nikijiulizaga why nilikuwa that crazy about her
nashindwa kupata jibu
yuko average looks,tabia sio safi kihivyo
but dah acha tu

Kuna kitu kinaitwa mhemko,wakijua?
 
Kabisa uzee ni dawa ana mantiki kubwa kwenye madai yake sema tu wengine tumeingiwa ukichaa wa mapenzi tunaenda blindly lakini they say hatua ya kwa ni kujitambua.......

Hapa sasa unaanza kuongea.....

Soon tutakuwa pamoja......

Hayo mapenzi mapenzi yenu yakoje......Can any one draw a simple sketch for me???

Anyway....Huu uzee ingekuwa dawa ningeanza dozi usiku huu!!

Babu DC!!
 
ungeenda kumtafuta umtazame
huyo ex wake uone
yupo vipi hadi mdada awe motivated na lust lol
halafu ujitazama uone....ili ukiingia gym ujue home work iko vipi lol

This is wonderful The Boss,

Umenifanya niingie kitandani kwa kicheko cha kishikaji....

Haya mambo haya....Ngoja tuishie hapa!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Jamaa mmoja alidai eti mapenzi ni upofu!Mi nadhani watu ndo wana upofu bhana!!

Hapana mapenzi ndiyo yanakufanya mpofu usisingizie watu hisia za mapenzi ziko very powerful hadi zinasababisha upofu na katika kesi nyingine ukiziwi kabisa kama si ububu
 
Are you out of your mind? Yaani nijianike hapa hadharani wote wanione?

Wewe njoo fesbuk kaa unataka kuniona.
Kwani kuna ubaya gani? mbona watu wanajiripua "verified members" siku hizi?
Haya, nakuja fb, nakuja na picha yangu ya eid, nilivaa a green maxi dress. nice!
 
Hapana mapenzi ndiyo yanakufanya mpofu usisingizie watu hisia za mapenzi ziko very powerful hadi zinasababisha upofu na katika kesi nyingine ukiziwi kabisa kama si ububu

Hapana,upofu unakuja pale unapoacha kutumia akili na kuacha hisia zikuongoze,ukitumia akili wala huwezi kupata shida na yoyote na hakuna cha ukiziwi hapo!
 
duh
aise hata mimi kuna mtu nikijiulizaga why nilikuwa that crazy about her
nashindwa kupata jibu
yuko average looks,tabia sio safi kihivyo
but dah acha tu

Ndo ilivyo Boss
Kwa sababu hata yeye baadaye alijiuliza sana
Ila uzuri ni kwamba she moved on from him na hakuwa ashamed kukiri kuwa alifanya makosa.

So in the end, it's not like it reflected anything on me as some minion would like to believe.
 
Hapa sasa unaanza kuongea.....

Soon tutakuwa pamoja......

Hayo mapenzi mapenzi yenu yakoje......Can any one draw a simple sketch for me???

Anyway....Huu uzee ingekuwa dawa ningeanza dozi usiku huu!!

Babu DC!!

Hayaelezeki labda wewe uliyepita kwenye mabonde na makorongo utuelezee kuhusu huu ukichaa hadi ukafika kwenye conclusion ya maslahi
Ushasikia wapi mganga anajitibu? Hizo mvi zako na meno yako yaliyoisha kwa ugoro ndiyo yanaficha dawa yetu si vijana...shurti utugee
 
Back
Top Bottom