Are You Receiving Harassing Phone Calls? - Find Out Who is Calling

CalvinPower

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
1,570
880
Are You Receiving Harassing Phone Calls? - Find Out Who is Calling
Mimi nina simu ya voda halafu nikakuta number ya simu inanisumbua sana na ni ya mtandao wa vodacom lakini sijui ni nani kapiga au anaenisumbua na hiyo number. ok its verry simple.
Mfano number hii inakusumbua +25575444443 basi tuma hela kwa njia ya mpesa kwenye hiyo number. hakikisha unatuma hela ambayo imezidi salio lililoko kwenye account yako ili usiliwe hela yako. na utapata ujumbe kutoka vodacomm wenye kusomeka hivi: Sorry, you do not have enough money in your M-Pesa account to send tsh 10000000 to Andrew Mwakipesile Your M-Pesa ballance is Tsh9,345.
usitume kiwangoa ambacho unacho maana kitakwenda. Tuma hela iliyozini account yako ya M-Pesa.

sometime matapeli watakupigia wakitaka kukutapeli. kama amesajiliwa utamjua Jina na kama ukiona jina halitokei ujue huyo kanunua number mpya na ni tapeli.
 
Sasa mpwa kama yuko mtandao mwingine nifanyeje maana natamani kweli niwakamate hawa wajinga wanaonisumbuaga
 
ataukitaka kujua salio lako la m-pesa uwa wanakata pesa ukitaka usikatwe fanya the same fanya kama unamtumia m2 pesa alafu watakujulisha balance free hapo inakuwa
 
Na ukitaka kumfahamu mtu aliye tumia line ya airtel unaweza kunitumia namba yake via pm naichakachua fasta.ipo hivi unaandika check 0682***** then unasendi kwenda 105. Hii ni baadhi ya line ndo zinaweza kuchakachua.plz usianike namba ya mtu hapa uwanjani.naomba ui pm kwangu.
 
ataukitaka kujua salio lako la m-pesa uwa wanakata pesa ukitaka usikatwe fanya the same fanya kama unamtumia m2 pesa alafu watakujulisha balance free hapo inakuwa

dr.hapo hapo shikilia.inamaana hivi sasa nikicheki balansi via huo mtiriri hawanikati? Teh!teh! Teh! Teh! Hapo sawa kabisa fulu ku injoi.
 
hahahaaa!!!!! Raha sana,,, kumbe simple hvyo,, nimemkamata mtu..... afu kash2ka ananiulza "umenijuaje???"
 
fomla unaandika CHECK 0788......... Unatuma kwenda 105 ila mpaka uwena line za rangi ya blue kama yangu.

line ya blue ndio za tigo au?
Kuna lijitu linanisumbua hadi mtoto wa watu nakonda kwa ajili yake.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom