Are you ready for HIV Test?

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
There are many people I have talked to about Aids but every time I ask them whether they would go for a HIV test of their own volition, they cast me such an icy look that I retract and recoil.

.....Are you ready kwa kupima ngoma?
 
Tell me xtly what i will do with the result and you take my sample no Problem.

And tell how much it has helped ..in anyways!

And it will be a good exercise for all of us.
 
Tell me xtly what i will do with the result and you take my sample no Problem
.
Hapo si unajua kuna wale wanakuja kutuambia tupime kwa hiyari ili ujijue afya yako......
And tell how much it has helped ..in anyways!
Sijui kwa kweli......nina vile vituo huwa wanafanya tafiti tu ili wapeleke kwa wazungu wapate hela....si mnajua siku NGOMA dili bongo
 
Ila Watoa Ushauri Wanavitisho Mno Ndo Maana Watu Hawataki Kupima.....!
je Upo Tayari Kupima....!
Ukikutwa Nao Utafanya Nini....!
Je Upo Tayari Kuchukua Majibu Yako......!
Umekuja Peke Yako Au Upo Na Mwenzako....!
Majibu Ndo Haya,je Ukiwa.....!
na Maswali Mengine Kama Haya Yanakatisha Tamaa Na Kupandisha Presha........!
Mbona Wakitupima Malaria, Tb, Nk Hawaulizi Hivi....!
They Have To Change The Way They Shauri Nasaa....!
 
Maswali ya kipuuzi sana wanauliza.......niliwahi kwenda nipoulizwa maswali hayo nikamwambia ngoja nije...nikala nduki sikurudi.....
 
Maswali ya kipuuzi sana wanauliza.......niliwahi kwenda nipoulizwa maswali hayo nikamwambia ngoja nije...nikala nduki sikurudi.....

THEY HAVE TO KNOW OUR POSITION....! SI KWAMBA TUNAPINGA KAMPENI DHIDI YA UPIMAJI....... BALI THE WAY WANAVYOIPELEKA...(usimwambie mtu... feb 2001 nilifanya KAMA WEWE)
 
Siku hizi watu wengi wanajua HIV status pale wanapojiingiza kwenye mambo ya kuzaa, kama u mwanamke ujue ukibeba mimba hakuna namna- utapimwa ngoma tu! Na thanks god wanaume ndio tunaponea humohumo, mama akiwa salama chances ni kubwa kwamba na mzee naye ana TBS and vice versa.
 
mahesabu unakumbuka wabunge an wao walikimbia zoezi la upimaji......

Mkuu Kana-ka Nsungu kuna cases nyingi kuwa mama ana ngoma baba hana au kinyume chake.....Kana vipi umepima?
 
mahesabu unakumbuka wabunge an wao walikimbia zoezi la upimaji......

Mkuu Kana-ka Nsungu kuna cases nyingi kuwa mama ana ngoma baba hana au kinyume chake.....Kana vipi umepima?

Sijapima ila mama amepimwa na ni mzima so I assume kwamba na mimi ni mzima. Chances za mwanamke mwenye ngoma kumuambukiza mwanaume ni ndogo sana tofauti na kama mwanaume ndiye mwenye ngoma-normally mwanamke hasalimiki!
 
hapa naona unatafuta kisababu tu cha usipime,yaani mtakuwa mnangoja wake zenu wapate mimba ndio mjue hali zenu. kila mtu na mzigo wake, mabonde mabonde uloopitia, wakati wa kupima ndio unawish usingethubutu!!!

all said and done, its not as easy as going for a malaria test, hiyo unajua utapata dozi ya chloroquin sijui siku hizi dawa ni nyingi, but its worth knowing yo status.
 
.....kutoka moyoni kweli mtu wa pwani?

yeah from bottom of my heart, sasa na haya mambo ya kuingia nchi za watu huna njia lazima upime.

mie hadi sasa nishaaaapima zaidi ya mara nane na nnategemea nitaendelea kufanya hivyo.

ila sipingi kuwa ni zoezi gumu mno, hujikaza basi lkn hofu lazima itawale.
 
wengine wana limitations because of hali ya maisha anaona hajajipanga vizuri kimaisha ... anakuwa na goals zake hajazikamilisha ... sasa anaogopa akijakuambiwa ni positive anakata tamaa kabisa ... ugonjwa huu pia unataka uwe na hali fulani ya "nacho" maana ule vizuri na usiwaze sijui nini ... list is endless kwa mlala hoi anawaza chakula cha siku hiyo hiyo ... hata apate mlo mmoja tu inashindikana ,.... halafu umwambie akapime ... si unamuua kabisa
 
Kupima ni kujitafutia ugonjwa wa moyo,maisha yenyewe yako wapi?
Hakuna adumuye wote tuko safarini.Niwe nao ,nisiwe nao ipo siku nitalala mavumbini,habari ndo hiyo.
 
Well kwa kweli this is a very sensitive matter inahitaji courage.Mara ya kwanza mimi naenda kupima I was shaking like a leaf.Baada ya vipimo nilipokuwa napewa majibu nakumbuka I was already in tears nimekaa chini.I had lots of dreams for my future and other stuff.

Yule mtoa majibu akaniuliza why I was crying nikamwambia I know my life is ruined then when she told me my blood samples were clean I hugged like for five min.and even offered her lunch.Since that time kupima kwangu imekuwa hobby ila ikifika saa ya majibu kidogo fear creeps in.

Though one thing nimelearn one can never be ready for HIV testing unless you tune yourself for that.
Cheers for this topic.
 
aliimba prof jay..wabongo starehe mwazipenda ila ikifika wakati huo ndo mwawa na akili timamu...wakati ule si mwasemaga hamuwezi kula ndizi na maganda yake sijui pipi kwenye cover??sasa leo uogope nini??nenda kapime banaaa!!
 
hihihihihi
 
Back
Top Bottom