Are Tanzanian women turning into seasoned gold-diggers?

Wanawake wanaojitegemea wanafananaje? na wanapatikana wapi? hata wale wanaojitegemea bado wakipata kidume wanataka nao wamkabidhi matatizo yao yote :)

aaah! sasa nimeelewa tatizo lako kubwa... you can not tell the difference, na hilo ni darasa jipya kabisa.
 
Same here partner...ngoja baadae nikipata nafasi nilete kitu nijue unasimama wapi!!

Hahahhahahaha....we partner mambo yataendaje vizuri wakati unanicheleweshea yule anaeweza kua alinipa ubavu wake?!Lolz

Patiently waiting... (nilikua nauliza upande ule tulotatua tatizo lile na yule mwanaume mbishi kwa msaada wa michelle)
 
Patiently waiting... (nilikua nauliza upande ule tulotatua tatizo lile na yule mwanaume mbishi kwa msaada wa michelle)

Hhahha...lile limeisha partner!!Ngoja niweke mafuta kwenye hili gari langu linalotembea alafu nianze kazi.....
 
Same here partner...ngoja baadae nikipata nafasi nilete kitu nijue unasimama wapi!!

Hahahhahahaha....we partner mambo yataendaje vizuri wakati unanicheleweshea yule anaeweza kua alinipa ubavu wake?!Lolz
Tabia mbaya dearest....si tulishakubaliana kuwa ni ... iweje huu mjadala unaendelea??? na mimi sijaambiwa kuwa kuna mabadiliko????
 
Tabia mbaya dearest....si tulishakubaliana kuwa ni ... iweje huu mjadala unaendelea??? na mimi sijaambiwa kuwa kuna mabadiliko????

Usimlaumu mpenzi mimi ndo nilikwamisha mambo... ni weekend
kila ya mwisho wa mwezi ndo hutokea hio dinner but mwezi ulopita
mamamkwe alikua anasumbuliwa hivyo ndo maana hukushituliwa,
nilienda kupalia mapenzi kiumeni kupandisha CV ya mke...
 
aaah! sasa nimeelewa tatizo lako kubwa... you can not tell the difference, na hilo ni darasa jipya kabisa.
Sihitaji darasa lolote kuhusu nyie viumbe. Mnathamini pesa kuliko utu, hebu chungulia response yako ya kwanza uone mwenyewe ulivokubali..lol. Sio kwamba nalalamika naweka tu msisitizo.
 
Code:
It's a tale that  is all too common. Women who are gold diggers and who  see a potential  date as an express to money land. Tanzanian women are  famed for their  beauty, homemaking and [COLOR=red]bedroom skills[/COLOR], but one of the  things that  minuses their prowess is the habit by many to take men as  walking  wallets.
Hapo kwenye rangi nyekundu ndipo jibu lilipo.....................................hizi bedroom skills huwezi ukapewa bure halafu udai umegeuzwa ATM........................mara nying hawa wadada usifikiri ni wajinga hata JK anawaunga mkono pale anaposema "Ili ule lazima nawe uliwe"

Mara nyingi wanakutumia list ya mahitaji yao baada ya kuona na wewe kuna huduma wamekupa hawaendi haraka na wewe.......hebu fafanua yaani hizi bili zilipwa kabla ya huduma yoyote...............................??????????????????????
 
Usimlaumu mpenzi mimi ndo nilikwamisha mambo... ni weekend
kila ya mwisho wa mwezi ndo hutokea hio dinner but mwezi ulopita
mamamkwe alikua anasumbuliwa hivyo ndo maana hukushituliwa,
nilienda kupalia mapenzi kiumeni kupandisha CV ya mke...

hujanielewa dearest,nilimaanisha huyu dearest Lizzy tulishakubaliana kuwa yeye abaki na CP.....sasa nashangaa haya masuala ya kuweka gari mafuta anaenda wapi?
 
hujanielewa dearest,nilimaanisha huyu dearest Lizzy tulishakubaliana kuwa yeye abaki na CP.....sasa nashangaa haya masuala ya kuweka gari mafuta anaenda wapi?

lol.....lol..........lol........ kuna issue anaanda inahitaji usafiri, kaona atumie gari. CP yuko pale pale moyoni kwake katulia... But najua atakuja mwenyewe kujitetea....lol
 
hujanielewa dearest,nilimaanisha huyu dearest Lizzy tulishakubaliana kuwa yeye abaki na CP.....sasa nashangaa haya masuala ya kuweka gari mafuta anaenda wapi?

Hahahha....dearest we mwenyewe unajua siwezi kukuangusha hata siku moja....ukizingatia ulivyochoka siku ile ndo kabisaaa siwezi!!!Nataka nikamnunulie mupenzi zawadi sasa sitaki kumuomba yeye anipeleke ili asijue ndo maana naweka mwenyewe kimya kimya!!

Partner lazima ya dharura yawepo...just incase!!
 
Glad to hear this....just know that someone is watching your every move.....:dance::dance:
 
jamii isoyokuwa na utamaduni imekufa. Hatuhitaji kulalama juu ya maisha mabaya tulio nayo haya ni matokeo yake. Weka pesa mbele utu nyuma.
 
95% ya wanawake/wasichana ni wategemezi hata wakiwa kwenye ndoa; ni kwamba siku zote mke atategemea kila kitu toka kwa mumewe hata kama naye anakipato kizuri vipi.....ukiona demu analipa bili(bado ni wachache sana,hata hivyo) ujue bado mko kwenye urafiki wa kawaida,mkishakuwa wapenzi utaona cha moto!!!!
 
Ndio hapo nawapenda wadada wa kizungu, mahusiano/mapenzi ni kusaidiana c kuchunana
 
Hivi hizi ATM zenye miguu huwa zinapatikana wapi na mimi nitafute yangu?!

Seriously though kama kila siku mnalalamika kwamba nafasi ya mwanaume haitiliwi maanani tena na mnataka mrudi kujulikana kama vichwa na sio miguu kubalini tu kuchunwa!Japo binafsi naamini swala la kusaidiana ila ni kazi yenu kuweka mkate mezani na kuongeza nguo kabatini...unless uko tayari kwa USAWA mnaoukataa na kuupinga sana!

Na sie wanaume ma feminist je? Tunaounga mkono wanawake wanaodai usawa utatuambiaje?

Nikilibadilisha hili swali lako na kukuuliza hivi wanawake kweli kwa mtindo huu wanategemea kupata usawa?
 
Back
Top Bottom