Ardhi ya kilimo Tsh 5000 kila Ekari ya mbuga

Inawezekana kabisa,ila naomba upate majibu ya maswali yafuatayo;
1. Muuzaji ni nani?
2. Umbali kutoka mbugani mpaka kijiji/mji wa karibu
3. Hiyo mbuga inakaliwa na watu gani kwa muda mrefu
4. Hali ya hewa, je mito ipo?
5. wanyama pori wanaoishi huko.

Juzi nilikwenda sehemu fulani Iringa, kuzuri sana na ardhi nzuri,lakini mvua ikinyesha,hata tractor halifiki. Kuna nyani kibao.
Ukipata majibu tupe feedback. Yasije yakawa yale mashamba ya Basotu yaliyokuwa ya ngano ambayo wanakodisha kwa wanavijiji!!!!!!!.
Iringa sehemu gani mkuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom