ardhi university

jofizo

Member
Nov 5, 2016
35
8
aliyesoma ardhi university au anayesoma sasa HV pale kozi ya architecture anielezeee kuhusu Mzee mwakipesile
 
aliyesoma ardhi university au anayesoma sasa HV pale kozi ya architecture anielezeee kuhusu Mzee mwakipesile

Sisi tulikuwa tunamwita "Mwaki"
Ametuchoresha sana juani Mwaka wa Kwanza Study Tour!! Architecture ya Urusi imelala pale!! He is such a gentleman na funny!! Yuko poa sana jamaa hasa kwenye zile basics za design studio!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom