Samhoodsam
Member
- Sep 24, 2015
- 33
- 6
WADAU SELLECTION ZA DEGREE LINI CHUO KINAACHIA MAJINA?
WADAU SELLECTION ZA DEGREE LINI CHUO KINAACHIA MAJINA?
ArT
Mkuu majina ya waliochaguliwa yametoka Leo.
Aridhi lini inatoa majina ya waliochagua degree pro kwa Diploma??T
Mkuu majina ya waliochaguliwa yametoka Leo.
Sio kwamba yaliyotoka yameunganisha woteAri
Ar
Aridhi lini inatoa majina ya waliochagua degree pro kwa Diploma??
mlete hapa haraka kabla ya tarehe 6-10-2017 www.ild.ac.tzhivi mfano una kijana kamaliza kidato cha nne ni kozi gani itamfaa hapo chuoni na amesoma masomo ya arts na yote kafaulu pia gharama za hiyo kozi
ahsante
Unaitwa nani ni PMhahahahahaahahah,,, mkuu, hata kama ni ukweli,umeusema directly sana!!! Daah,, yani umemkata huyu dogo maini kweli kweli,,, inawezekani mimi nilikua mmoja wa wanafunzi wako mwalimu, kwasababu nimemaliza ardhi university - bachelor of architecture few yearz back,.. Heshma mbele mwalimu!!!
Naomba kujua kama kuna mtu wa diploma aliye chaguliwa kwenye chuo hiki kwa ngazi ya degree!!!!
mimi ni mhadhiri ARU hufai hata kujiunga na chuo cha ardhi Tabora ambapo tunatoa diploma. Labda kama una interest na ardhi uombe Certificate Morogoro.
Ari
Ar
Aridhi lini inatoa majina ya waliochagua degree pro kwa Diploma??
May be,nakumbuka nili-apply hapo in 1993 nikiwa na Div 1 ya PCM na bado nikakosa. Nilisikitika sana, it was my favorite College by that time. All in all, maisha yanasonga.Hazijai kwenye nini!?
NB: Criteria for entry is high than any other university in TZ,
THis Dunia is not fair kwa kweli.Chuo Ardhi ni moja kati ya vyuo vyenye course nzuri ambazo ni marketable ila fahamu tu ni miaka minne mpaka mitano uko darasani, course za miaka 3 zipo tatu tu, BSc. Economics, BSc Community Development ,,,,,,,,
Kwahiyo ni kusoma kwa kwenda mbele. Muda mwingi utakuta vijana wako madarasani mpaka usiku wa manane wakichora na wakati mwingine asubuhi inakukuta darasani.
Vijana wengi wamekuwa wakifanikiwa sana, hakuna anayekosa kazi, labda uwe umefeli na hukumaliza course yako. Ukadisco.
Karibuni sana
Mi niuzie T squareKwa wale civil engineering ..first year .
Nione kwa ajili drawing board ni bei rahisi tu...
CCP MoshiWakuu, chuo kipi kizuri kinacho to a coz ya LAW ENFORCEMENT**