Ardhi University(ARU) - Special Thread

hahahahahaahahah,,, mkuu, hata kama ni ukweli,umeusema directly sana!!! Daah,, yani umemkata huyu dogo maini kweli kweli,,, inawezekani mimi nilikua mmoja wa wanafunzi wako mwalimu, kwasababu nimemaliza ardhi university - bachelor of architecture few yearz back,.. Heshma mbele mwalimu!!!
Unaitwa nani ni PM
 
mimi ni mhadhiri ARU hufai hata kujiunga na chuo cha ardhi Tabora ambapo tunatoa diploma. Labda kama una interest na ardhi uombe Certificate Morogoro.

Aaah mkuu.. be polite bana but haezi soma ardhi university (ARU) ila chuo cha tabora (ARITA) wanatoa kuanzia certificate anaweza akasoma pale certificate then diploma
 
Wakuu naomba kuuliza kwa wale wanafunz wa f 4 waliomaliza shule za ufund na kuweza kufaulu mitihan yao je wanaweza kujiunga na ardh university kwa levl ya deploma
 
Kuba mdogo wangu ako na diploma in electrical engineering ya dit
Anataka asome real estate and finance pale ardhi
Atakubaliwa
 
Hazijai kwenye nini!?

NB: Criteria for entry is high than any other university in TZ,
May be,nakumbuka nili-apply hapo in 1993 nikiwa na Div 1 ya PCM na bado nikakosa. Nilisikitika sana, it was my favorite College by that time. All in all, maisha yanasonga.
 
Chuo Ardhi ni moja kati ya vyuo vyenye course nzuri ambazo ni marketable ila fahamu tu ni miaka minne mpaka mitano uko darasani, course za miaka 3 zipo tatu tu, BSc. Economics, BSc Community Development ,,,,,,,,

Kwahiyo ni kusoma kwa kwenda mbele. Muda mwingi utakuta vijana wako madarasani mpaka usiku wa manane wakichora na wakati mwingine asubuhi inakukuta darasani.

Vijana wengi wamekuwa wakifanikiwa sana, hakuna anayekosa kazi, labda uwe umefeli na hukumaliza course yako. Ukadisco.

Karibuni sana
THis Dunia is not fair kwa kweli.
Best student in Technical Drawing, na scorer of Div I ya Pcm, eti leo yuko mtaani anabangaiza. Very touching.
 
Jaman wakuu naomba kuuliza swali. Hiv ni comb zipi unaweza ARCHITECTURE ukiachana na PGM? Ninahitahij kusomea hii naomba mnisaidie
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom