Ardhi inauzwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ardhi inauzwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Manezra, Sep 20, 2010.

 1. Manezra

  Manezra Member

  #1
  Sep 20, 2010
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Nauza ardhi/shamba/eneo ya eka 15, ipo Mkuranga kilometa 5 kutoka barabara kuu (kwa hiyo haiwezi kuathirika na uapanuzi wa barabara). Ardhi hii ina mazao kama Minazi, Michungwa, Passion n.k. Bei yake ni shilingi million 150. Kwa mazungumzo zaidi piga: 0713-518549
   
 2. Njilembera

  Njilembera JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2010
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 1,423
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Hapana, your price is not just right! Bado bei haijafikia huko. You are exaggerating. Kijijini Bupu, unaweza ukapata ekari moja kati ya shs 150,000-200,000, ni kweli Bupu ni mbali about 20km from the main road, lakini pale kwenye jucntion kuelekea Bupu bado kabisa kufikia Tshs 2,000,000 kwa eka! Tusiwakatishe tamaa watu kununua
   
 3. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  haya wenye nazo tafadhali
   
 4. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,445
  Likes Received: 5,831
  Trophy Points: 280
  Nitahitaji kuuza nazi 150,000 kurudisha pesa yangu
  1.Mnazi huchukua miaka 5-8 kuanza kuzaa
  2.Eka moja ni sawa na minazi 50 hivyo kwa eka 15 ni minazi 750
  3.Mnazi mmoja hutoa majanguo katribu 6 kwa mwaka na janguo moja hutoa wastani wa nazi 8 hivyo kwa mwaka nitavuna nazi 750x6x8=nazi 36,000 hivyo 150,000/36,000 ni kama miaka 4 na ukijumlisha ile 8 ni miaka 12 just ku break even(ukiacha gharama zingine na matatizo ya magonjwa ya minazi nk)
  No hailipi
   
 5. Smarter

  Smarter JF-Expert Member

  #5
  Sep 20, 2010
  Joined: Nov 10, 2008
  Messages: 455
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nikutafute kwa elimu ya Biashara?
   
Loading...