Ardhi inagawiwa Bagamoyo eneo la barabara ya kwenda Saadan | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ardhi inagawiwa Bagamoyo eneo la barabara ya kwenda Saadan

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kashaija, Aug 18, 2010.

 1. K

  Kashaija JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2010
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Heshima mbele wakuu.

  Nimepata taarifa kwamba Serikali ya kijiji eneo la Bgmy bara2 ya kuelekea mbuga ya Saadan imeamua kugawa kwa wananchi pori lililokuwa linamilikiwa na Sekarb kwa bei ambayo hata sisi walala hoi tunaweza kuimudu (ekari 5 kwa Tsh. 15,000/=). Kwa taarifa niliyonayo ni kwamba tangu J3 watu wamekuwa wakimiminika huko.

  Sasahivi nakimbilia huko, nikirudi nitawajurisha kinachoendelea.
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  nipe taarifa ukiwa unarudi tafadhali
   
 3. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145


  Nijuze tafadhali.... spesho rekwestiiii...!!!
   
 4. M

  MC JF-Expert Member

  #4
  Aug 18, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 751
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Mkuu Kashaija,

  Nami Pia, nitapenda kufahamu kama nikweli; ili nichangamkie
   
 5. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  VP mkuu ni kweli nasi tuje?
   
 6. LeopoldByongje

  LeopoldByongje JF-Expert Member

  #6
  Aug 18, 2010
  Joined: Apr 28, 2008
  Messages: 373
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tafadhali muwe wangalifu sana. Huko Bagamoyo mchezo huu umewaliza wengi. Iwapo mtu atagawiwa ardhi basi ahakikishe anazihusisha Mamlaka zinazohusika ili apate nyaraka halali. Lakini fanyeni utafiti kwanza kujua ardhi hiyo anamiliki nani. Wizara ya Ardhi wanatoa huduma ya Search kwa gharama ndogo. Good Luck.
   
 7. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #7
  Aug 18, 2010
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ukirudi more info please on 5Ws & H...
   
 8. anania

  anania Member

  #8
  Aug 18, 2010
  Joined: Jul 2, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mkubwa wa kazi tuna kusubiri
   
 9. G

  Gokona Member

  #9
  Aug 18, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu pole na majukumu nami nipo pamoja na wadau fanya tafiti hata simu za wahusika tupatie
   
 10. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #10
  Aug 18, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Yap kaka uklirudi tupe ishu kukoje nasi tukapate angalau heka kadhaa.
   
 11. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #11
  Aug 18, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hiyo ardhi mntaka kuifanyia nini? wabongo bana, utadhania kuna uhaba wa ardhi!
   
 12. Companero

  Companero Platinum Member

  #12
  Aug 18, 2010
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Vipi wanagawa mpaka na lile eneo la Zanzibar la RAZABA walilopoka SEKAB hapo Bwagamoyo?
   
 13. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #13
  Aug 18, 2010
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kumekuwa na katabia kabaya sana siku hizi watu wanajilimbikizia ardhi hata kama hawana mpango wowote wakuiendeleza...na hivyo kuwanyima fursa wale wenye nia na uwezo wakuleta maendeleo kwenye maeneo husika.....! haka katabia sio kazuri!
   
 14. K

  Kashaija JF-Expert Member

  #14
  Aug 19, 2010
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 255
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Yap, nimerudi.

  Jana nilifanikiwa kufika huko, ni umbali wa km 40 tu kutoka Bgmy mjini. Ukitoka Bgmy, unafuata bara2 ya kwenda Msata, ukifika Makurunge unachukua bara2 ya kushoto kwako ambayo inakupeleka moja kwa moja mpaka kijiji kinaitwa Gama. Ukifika Gama ulizia Mwenyekiti wa kamati ya uuzaji anaitwa Bambadi.

  Mimi nilifanikiwa kupata ekari 15 jana, ila anasema zoezi rasmi litaendelea wiki ijayo maana wanasubiri watu wa Ardhi Bgmy ili wawaonyeshe mipaka ya SEKARB na RAZABA kusudi wasije kuingilia maeneo hayo wakati wa kugawa.

  Walimu na wafanyakazi wa Baobab secondary walibahatika kuwahi, maana siku J3 walikodi Hiace wakaenda wote na wakapata wote.
   
 15. Mshirazi

  Mshirazi JF-Expert Member

  #15
  Aug 19, 2010
  Joined: Dec 8, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mkuu na bei ni ile ile uliyotudokeza awali?
  Na jee wanakupatia documents zote muhimu kwa ajili umiliki?
  Ni kitu gani unatakiwa kuwa nacho ili uweze ku-qualify kupata hiyo ardhi?
   
 16. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #16
  Aug 19, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo ekari 1 ni shs 3000/= ??????? Na kuna usafiri gani wa kufika huko?
   
 17. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #17
  Aug 19, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kamanda mie binafsi sioni hata maana ya kumiliki ardhi kwa wengi wetu. Binafsi kwa kijimshahara feki ninachopata sioni hata uwezekano wa kujenga nyumba walau ya vyumba 2! Hata ukijenga hakuna uwezekano wa kufikiwa huduma za kijamii kama shule, maji , umeme, achilia mbali barabara za uhakika au barabara na usafiri utakakuwezesha kufika 'mjini'..

  It is very fustrating to be a common mdanganyika!
   
 18. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #18
  Aug 19, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Amani iwe kwako,
  Amini nakwambia, ukizembea kupata ardhi sasa hv utatesa watoto baadae, ardhi kwa sasa ni Bure kabisa, lakini miaka ijayo hautaweza kupata arhi ya kununua kwa bei yoyote! Nunua ardhi, wekeza nguvu zako. Kilimo kwanza
   
 19. kanyagio

  kanyagio JF-Expert Member

  #19
  Aug 19, 2010
  Joined: Dec 10, 2009
  Messages: 986
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  nisaidie contact za watu wa huko ili niwatafute tafadhali....
   
 20. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #20
  Aug 19, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Wanangu nitawarithisha elimu na uraia wa mama zao..hizo ardhi mnazozifakamia sasa hivi hazina hata title deeds na serikali ya mafioso na waganga njaa watazifisadi to the highest bidder at any time kwa kisingizio cha 'ardhi ni mali ya serikali', sasa ni obvious wanao wana hali mbali mpaka usawa huu..just think about it.
   
Loading...