Ardhi iliyodhulumiwa waziwazi

sonashi

Member
Jul 27, 2012
44
10
Mama Anna Tibaijuka, Mama wa makazi !!!
hebu fuatilia kwa undani kwelikweli uone watu wa ardhi wanavyokula rushwa.
je walitenda haki katika hili kweli ? ikiangaliwa kiundani kuna giza nene lililotanda katika eneo hili kwa sisi majirani tunasikitishwa sana. na bado biashara inafanyika eneo hili wakati bado kuna utata wewe ndiyo unaweza kutoa maamuzi ya mwisho kwenye suala hili.
Sielezei ni wapi kwa sababu wa JF wengi wanapajua.

Sheria inasemaje juu ya ardhi ?
 

Attachments

  • PIC_0069.JPG
    PIC_0069.JPG
    204.2 KB · Views: 47
Napenda kuwapa tahadhari wanasheria na wanaharakati tunaona wanaharakati mnaowawezesha ni hatari mfano diwani wa bassotu wilaya ya hanang ni hatari anaangalia maslahi yake hasimamii haki ardhi yeye amezidi kutunyanghanya mashamba yetu kwa mabavu.tunawomba watu wa haki ardhi na wanaharakati mje kutusaidia wananchi wa kijiji cha bassotu wilaya hanang katesh manyara na aitwe huyo diwani mbele ya mkutano wa wananchi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom