Arabic words

Mandown

JF-Expert Member
Apr 8, 2012
1,665
503
Hii ni kweli,
Mwalimu alikua akifundisha sentensi za kiarabu kwa mara ya kwanza kwa wanafunzi wapia, mambo yalikuwa hivi

  • Mwalimu: Lugha ya kiarabu haina herufi "O" au "V", mara nyingi majina yenye herufi "O", huwa wanaweka harufi "U".
  • Wanafunzi: Ndio mwalimu
  • Mwalimu: kwamfano neno NDOA litakua NDUA
  • Mwanafunzi: Je mwalimu kuna mwanafunzi mwenzetu anaitwa KONDO tutamuitaje
  • Mwalimu: atakua anaitwa KUND...,
Kwa ghadhabu mwalimu alimporomoshea stik yule mwanafunzi za kutosha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom