Arab Contractors wakabidhiwa Billion 688.6 kama malipo ya awali mradi wa umeme wa maporomoko ya mto Rufiji

View attachment 1081438
Naona wana JF wengi mko kimya lakini juzi mkandarasi Arab Contractors kalipwa na serikali ya Tanzania, malipo ya awali Tshs 688bilioni.

Haya ni malipo makubwa zaidi kuwahi kutokea tangu nchi hii ipate uhuru.

Kwa kifupi sasa tuna uhakika kuwa mradi wa ujenzi wa mradi wa umeme wa stieglers Gorge ndio unaanza kwa uhakika.

Myonge myongeni haki yake mpeni, hongera mh. Magufuli
 
Wewe kama unachuki zako kwa Magufuli kwa kuzuia uharamia kwenye utalii na ujangili hama nchi.

Sijawahi kujihusisha na biashara yoyote haramu na wala sintojihusisha hata Magufuli akitoka madarakani. Nina uwezo wa kupata kupitia shughuli halali.
 
Ulitaka tuendelee kulipa capacity charge kwenye umeme wa kifisadi?
Ukijumlisha ufisadi uliofanyika Awamu ya kwanza Mpaka ya nne hauzidi ufisadi uliofanyika awamu ya 5 peke yake tu.....Awamu ya 5 peke yake wamepiga zaidi ya trilioni 6.
 
Ukijumlisha ufisadi uliofanyika Awamu ya kwanza Mpaka ya nne hauzidi ufisadi uliofanyika awamu ya 5 peke yake tu.....Awamu ya 5 peke yake wamepiga zaidi ya trilioni 6.
Wamu ya pili tunajuwa kuna loliondo, awamu ya tatu kuna kiwira, awamu ya nne, escrow...nini kimefanyika awamu ya tano?
 
Sijui nani katuroga.
Wengine tunawaza t. 1.5 na t.4 zimetumika vipi, wengine wanasifia t. 0.688, 06?
Safari hii ni viva wajinga, mnaonekana sana kwa awamu hii. Yaani awamu hii umetufanya tuwadharau hata wenye bonge na cheti cha elimu.
nimewakumbuka wale wa KOROW SHOW walioandamana sijui wameishia wapi
 
View attachment 1081438
Naona wana JF wengi mko kimya lakini juzi mkandarasi Arab Contractors kalipwa na serikali ya Tanzania, malipo ya awali Tshs 688bilioni.

Haya ni malipo makubwa zaidi kuwahi kutokea tangu nchi hii ipate uhuru.

Kwa kifupi sasa tuna uhakika kuwa mradi wa ujenzi wa mradi wa umeme wa stieglers Gorge ndio unaanza kwa uhakika.

Myonge myongeni haki yake mpeni, hongera mh. Magufuli

Wako kimya kwa sababu wanataka JPM a-fail lakini jamaa yuko makini ..,wengi wao wanachangia vitu ambivyo ni negative tu lakin positive things hawawezi zaidi ya kubeza tu
 
Wako kimya kwa sababu wanataka JPM a-fail lakini jamaa yuko makini ..,wengi wao wanachangia vitu ambivyo ni negative tu lakin positive things hawawezi zaidi ya kubeza tu
afeli mara ngapi na ipi aliofaulu? kuleta maboing mabovu? au kivuko cha BWAGAMOYO..? au naniliuu...? msidhani tumesahau la KOROW SHOW mlisema mtabangua kwa MIMENO yenu
 
Una tatizo na mradi kufanikiwa kuanza, au?
sio kufanikiwa kuanza... bali tatizo ni kwa nyie mnaopiga debe tupu mkidhani huo mradi utakuwa endelevu.. nachowaombea ni uzima wa afya zenu tu muwe hai mpaka JONII atakapomaliza muhula wake ndo mtajua kilichochini ya kapeti..
 
Back
Top Bottom