Mpendasifa lazima atahutubia liveKesho ni siku rasmi ya Wizara ya Nishati kuwakabidhi makampuni Arab Contractors na Elswedy Electrics eneo la Striegler's Goege kwaajili ya ujenzi wa bwawa la umeme litakalotoa MW 2115 kuanza rasmi
View attachment 1021305
Kwa lipi?Kwani Unateseka..!!!!
Washamba ndio hulka zaomnafanya sherehe ya kukabidhi eneo la ujenzi je umeme ukiwaka mtafanya nini?
Nadhani itakuwa sherehe ya kitaifa siku ya mapumzikomnafanya sherehe ya kukabidhi eneo la ujenzi je umeme ukiwaka mtafanya nini?
Nadhani itakuwa sherehe ya kitaifa siku ya mapumzikomnafanya sherehe ya kukabidhi eneo la ujenzi je umeme ukiwaka mtafanya nini?
Kila siku anazindua lakini kila siku graph yake inashuka.Kwani Unateseka..!!!!
Tatizo anarudia yaleyale hana jipyaKwani kuna shida gani akiongea? we kinakuuma nini haswa..!
Mkumbuke kuwa jana Wamisri Simba waliwafunga, hivyo bado wana hasiraKesho ni siku rasmi ya Wizara ya Nishati kuwakabidhi makampuni Arab Contractors na Elswedy Electrics eneo la Striegler's Goege kwaajili ya ujenzi wa bwawa la umeme litakalotoa MW 2115 kuanza rasmi
View attachment 1021305
kila siku wanatoa povu ila mambo bado yanaenda wamefika kujikomba hadi kwa wazungu ila JPM mziki ni ule uleKila siku anazindua lakini kila siku graph yake inashuka.
Leo hii watanzania wala hawana habari na dreamliner wala Bombardier bali wanawaza ajira, mishahara duni, inflation, shida za maji, mikopo elimu ya juu, utekaji, mauji,shambulio la Lissu, mateso ya wakulima wa korosho,n.k.
Mziki upi? Hatutaki watu wasiothamini uhai na utu wa watu wengine.kila siku wanatoa povu ila mambo bado yanaenda wamefika kujikomba hadi kwa wazungu ila JPM mziki ni ule ule
Watakuja na hasiraHahaha kwambaje watatukacha...!