Arab Contractors na Elsewedy Electric Kukabidhiwa Rasmi Eneo la Rufiji (PHPP) Kesho

Mpinzire

JF-Expert Member
Jan 18, 2013
7,200
12,890
Kesho ni siku rasmi ya Wizara ya Nishati kuwakabidhi makampuni Arab Contractors na Elswedy Electrics eneo la Striegler's Goege kwaajili ya ujenzi wa bwawa la umeme litakalotoa MW 2115 kuanza rasmi
1550058154757.png
 
Kwani Unateseka..!!!!:cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool:
Kila siku anazindua lakini kila siku graph yake inashuka.

Leo hii watanzania wala hawana habari na dreamliner wala Bombardier bali wanawaza ajira, mishahara duni, inflation, shida za maji, mikopo elimu ya juu, utekaji, mauji,shambulio la Lissu, mateso ya wakulima wa korosho,n.k.
 
kila siku wanatoa povu ila mambo bado yanaenda wamefika kujikomba hadi kwa wazungu ila JPM mziki ni ule ule
 
kila siku wanatoa povu ila mambo bado yanaenda wamefika kujikomba hadi kwa wazungu ila JPM mziki ni ule ule
Mziki upi? Hatutaki watu wasiothamini uhai na utu wa watu wengine.

Hatutataki watu wasiojali shida na mateso ya watu wengine.

Hatutaki watu wasiothamini ustawai wa maisha ya watu huku wakithamini ustwai wa vitu maana hata kina Hitler na wakoloni pia walileta maendeleo ya vitu ila walipuuza utu wa watu na leo hawakumbukiwi kwa maendeleo ya vitu bali kwa matendo yao yasiyo ya kiutu.
 
Back
Top Bottom