Aquarium za samaki.....

GAMBLER

JF-Expert Member
Nov 22, 2009
303
11
wadau nataka kununua aquarium za kufugia samaki, naomba mnijuze wapi hapa dar, naweza
kupata aina tofauti za aquarium na kwa bei safi
 
nenda upanga, ukiwa unatokea salender bridge, baada tu ya mataa ya hapa traffic, as you proceed towards city centre, mkono wako wa kushoto barbarani kabisa (baada ya kituo cha daladala) kuna kaduka kadogo tu, jamaa wanauza pale....nadhani siyo imported zile...
 
Ziko zote pale mkuu, imported na za kubumba, ila wanazo aina mbali mbali na samaki pia wako wengi tu pale
 
wadau nataka kununua aquarium za kufugia samaki, naomba mnijuze wapi hapa dar, naweza
kupata aina tofauti za aquarium na kwa bei safi
Nenda pale mikocheni mbele ya Shoppers Plaza kabla hujavuka daraja upande wa kushoto kama unaenda mikocheni ukitokea mjini kuna mabanda ya biashara mbele ya ilipokuwa La Taverna,utakuta yapo mengi tu ila bei sijui nayaona nikipita njiani
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom