Aptitude test....

miku

Senior Member
Oct 24, 2011
148
185
Nimetoka kwny hii kitu lkn najiuliza hv hii ni njia sahihi ya kupima uwezo wa mtu,au ni njia rahisi ya kupunguza idadi ya watu!
 
katika theory nasema ni njia sahihi ya kupunguza wanaohitajika katika face to face interview kwani taasisi yoyote inahitaji potential candidates ambao wana uwezo wa kujifunza skills mpya katika kazi na hasa wakipatiwa mafunzo. Wanakupima kuona kma una uwezo huo ili kuongeza tija katika taasisiThe ListenerEx Detective
 
Nimetoka kwny hii kitu lkn najiuliza hv hii ni njia sahihi ya kupima uwezo wa mtu,au ni njia rahisi ya kupunguza idadi ya watu!

Ni njia ya kuwasaidia wahitimu ambao bado wanakumbuka maswali ya darasani
 
Nadhani uko sawa!kwa wale waliosota miaka 3 mtaani ni majanga!
 
Mara nyingi hizi test zinauliza maswali ya general na sio ya kwenye vitini vya darasani.

Hivyo sidhani kama waliomaliza hivi karibuni ndio wanafaidika. Wote sawa tu.
 
Nimetoka kwny hii kitu lkn najiuliza hv hii ni njia sahihi ya kupima uwezo wa mtu,au ni njia rahisi ya kupunguza idadi ya watu!

Hilo ni chekecheo ambalo size yake ni 0.01mm.ngano na makapi yataonekana
 
ukitaka uziwezee hizo aptitude, uwe na kawaida ya kufanya hizi online IQ test. ili akili yako iwe sharp... mi huwa nazifanya hizi atleast once per week
 
Mara nyingi hizi test zinauliza maswali ya general na sio ya kwenye vitini vya darasani.

Hivyo sidhani kama waliomaliza hivi karibuni ndio wanafaidika. Wote sawa tu.

aise,we acha tu. Hawa jamaa wa tume ya ajira wanauliza maswali ya kwenye vijini na kama ushamaliza siku nyingi zilizopita ndo ivo inakula kwako unless uwe umesoma kwa kubahatisha. Nishafanya paper zao,completely the paper favours only freshers!
 
Back
Top Bottom